Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamaa aliachia mzinga wa reggae kali sana. Kisha akaja kuchukuliwa kama kuku na kupotezwa. Je, alipatikana?
0 Reactions
2 Replies
118 Views
"Africa inasalia kuwa bara pekee duniani ambapo kiwango kikubwa cha wanaharakati na wanasiasa wenye 'unguchiro' wanadai haki, ilihali wao wenyewe wanashindwa kuitekeleza misingi hiyo. Ni taswira...
1 Reactions
0 Replies
98 Views
Ndugu, wana Jamii forums, Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano...
10 Reactions
102 Replies
10K Views
Balozi Luteni Jenerali Paul Mella moja wa wajumbe wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, akijibu swali la Mwandishi wa habari kuhusu Madai ya Mtaani kuwepo...
0 Reactions
8 Replies
288 Views
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu, amesema hayo Aprili 27,2026 akiwa katika mahojiano Wasafi FM
0 Reactions
3 Replies
130 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche amelitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuwaachia viongozi na wanachama wa mkoa huo wanaodaiwa kukamatwa Aprili...
2 Reactions
1 Replies
174 Views
Haya nawaulizeni nyie Wazushi na Watu wenye Chuki za Kishamba na Kipumbavu kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Serikali yake je, na hizi nchi zingine tajwa hapa katika hii Taarifa ya Reuters nazo pia...
2 Reactions
27 Replies
772 Views
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana, amefafanua kuwa video inayosambaa mitandaoni haihusiani na matukio ya hivi karibuni ya vurugu dhidi ya raia wa...
0 Reactions
3 Replies
209 Views
Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma, Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, amesema hayo leo Aprili 28, 2026 wakizungumza na vyombo vya habari
1 Reactions
1 Replies
182 Views
Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa...
3 Reactions
9 Replies
221 Views
Salaam, Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko...
17 Reactions
28 Replies
975 Views
Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman. Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi...
0 Reactions
7 Replies
234 Views
Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma, Mjumbe wa Tume ya kuchunguza matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025, amesema hayo leo Aprili 28, 2026 wakizungumza na vyombo vya habari
1 Reactions
3 Replies
262 Views
Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo...
16 Reactions
41 Replies
521 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
0 Reactions
14 Replies
374 Views
Jaji Mkuu Mstaafu Ibrahim Juma ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia...
0 Reactions
2 Replies
171 Views
  • Redirect
Nimefuatilia mazungumzo ya tume. Naona wako busy kujitetea badala ya kutufafanulia na kuthibitisha ushahidi kwa kile kilichotokea..!?
0 Reactions
Replies
Views
Hata turuke juu chini na tupige sarakasi za kila aina, zitaundwa tume za kila aina, kamati za amani, maridhiano na blah blah nyingine zote ila mwisho wa siku kama tutaka kuwa na nchi ya...
3 Reactions
2 Replies
120 Views
Jaji mkuu Mstaafu Ibrahim Juma ameyasema hayo wakati tume ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa Aprili 23, 2026
0 Reactions
3 Replies
229 Views
Jaji mkuu Mstaafu Ibrahim Juma ameyasema hayo wakati tume ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa Aprili 23, 2026.
2 Reactions
11 Replies
232 Views
Back
Top Bottom