Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari...
Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini Paschal Lutandula akichangia hoja katika bajeti ya Wizara ya madini amesema kuwa kuwa ' Kama Biblia ingeandikwa leo, inawezekana ingeandika hivi, Marais wengi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Bw. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora.
Bw. Makungu...
Tafadhali tuliza akili unaposoma makala hii.
1. Kuna mjadala unaendelea kuhusu dini zetu na sasa KKKT inatuhumiwa sana. Kanisa linahusishwa na siasa za urais, kulambishwa asali na misimamo ya...
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa...
Ukisha toa Ripoti na Kuikabidhi na kutuambia kwa mwenye Ripoti na kutueleza kuwa tunyamaze haituhusu hautakiwi kuja kutupa ufafanuzi.
Peleka ufafanuzi ulikokabidhi ripoti unatufafanulia nini...
Kama serikali hii ambayo hadi sasa kila mwananchi anafahamu ni haramu kwa kuwa imewekwa na vyombo vya dola na si maamuzi ya wananchi kupitia kwenye sanduku la kura kinachotakiwa hivi sasa wakuu wa...
Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema...
Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za...
Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo.
Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka...
Ni maelezo ya kuwalinda watawala wa CCM wala sio ripoti ya uchuguzi.
Jinsi watu walivyokuwa wanamiminiwa mijegejo kama Rambo yupo Vietnam halafu tunapewa maelezo kama haya
Jaji Chande uwe na...
Ni kweli Humphery sababu ya kisema ukweli tu kuwa Rais Samia anaiba rasilimali za Watanganyika?
Kosa lako lilikuwa ni nini?
Kuwaeleza ukweli Watanganyika kuwa Samia ni zao la wanaCCM chini ya...
"Hebu tafakari:
Mwanasiasa anasimama mbele ya wafuasi wake na kuanza kuwaponda viongozi wa Serikali kuwa hawana akili au ni wajinga, akidai hawawezi kuleta maendeleo; wakati huo huo, huko...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akizungumza na vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam, John Mnyika ametangaza Kamati kuu ya chama hicho kufanya kikao maalum Aprili...
Kwa wanaoelewa huwezi kuwa mzalendo halafu ukaunga mkono kupinduliwa kwa demokrasia waziwazi October 29.
Pigania nchi na acheni ujinga kwa kuona powa hata kama wewe sio mpinzani.
Kuna watu...
UWAJIBIKAJI
Namna ya kufikia uwajibikaji ina vipengele vitatu:
1. Uwajibikaji binafsi – mtu kuwajibishwa kwa kosa alilotenda yeye mwenyewe, iwe ni kosa la madai au jinai, kwa kuzingatia vigezo...
BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO
Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.