Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zama zile Tuliitwa Ngedere na wengine wakadiriki kutumbia ya kwamba tuamie Burundi, lkn zama hizi tunaitwa Nguchiro. Jamani wanasiasa punguzeni zarau na kujiona ya kwamba mmefika climax au...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika Daniel...
1 Reactions
9 Replies
568 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Heshima sana wanajamvi, Kafulila tunaweza kumweka katika kundi la wanasiasa wepesi sana. Hana akili zaidi ya kujikomba na kusifu waliomteua. Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kuna nini hadi...
3 Reactions
6 Replies
164 Views
Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imetoa tamko zito kuhusu hali ya amani na utulivu nchini kufuatia matukio ya uvunjifu wa amani yaliyojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu...
10 Reactions
15 Replies
562 Views
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026, amesema uchaguzi mkuu wa 2025 ulikuwa...
0 Reactions
3 Replies
245 Views
  • Redirect
Kenyan President William Ruto is expected to address the Parliament of Tanzania on May 5, 2026, starting at 11:00am. Deputy Speaker Daniel Sillo said the event is aimed at strengthening...
0 Reactions
Replies
Views
Kitu peke kilichobaki kuwatawanya na kuwaende watized ni Simba na Yanga, pale mwanzo kulitangulizwa kete ya udini ila nayo kama imeliwa tayar au inakalibia kuliwa
1 Reactions
6 Replies
148 Views
Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa na kukasirika baada ya Tume ya Chande kutoa ufafanuzi wa Ripoti yao ya matukio yalitokea Oktoba 29, 2025 kusema video za matukio zilikuwa zimechakachuliwa na...
3 Reactions
5 Replies
302 Views
Mpaka sasa Watanganyika wengi wanaamini kuwa hayati Magufuli alikufa kifo chenye utata. Humphrey Polepole akaja kuweka wazi kuwa wanaCCM waovu ambao wana nia ya kuwaibiibia Watanganyika...
13 Reactions
96 Replies
1K Views
Wanabodi Angalizo la Uchawa! Baada ya kutokea fani mpya ya uchawa, kuna watu wenye akili fupi humu, ukisifu tuu jambo lolote zuri la Rais, unanyooshewa kidole cha uchawa!. Tofauti ya pongezi za...
4 Reactions
69 Replies
3K Views
Kiwanda cha general tyre kubalishiwa matumizi, hatuwezi kushindana na wachina wanaozalisha tairi moja kwa dakika moja kwa kutumia mashine za kizamani, tutafungua mashine tutapeleka Kilimanjaro...
1 Reactions
6 Replies
276 Views
Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka...
0 Reactions
22 Replies
423 Views
Mtakumbuka Serikali ya Tanzania kupitia TASAF III Shilingi bilioni 43.5 zilitolewa moja kwa moja kwa kaya maskini kama ruzuku na malipo ya walengwa. Faida Kuu za TASAF kwa Wananchi ni Kupunguza...
1 Reactions
9 Replies
187 Views
  • Redirect
Tume imetoa wito wa uwajibikaji wa haki, maridhiano na maendeleo ya taifa. Watanzania wote wanapaswa kukumbatia ukweli huu na kufanya kazi pamoja kujenga Tanzania yenye amani, haki na umoja wa...
0 Reactions
Replies
Views
Uadilifu wa Jaji Chande ulioonekana katika majukumu yake ya Umoja wa Mataifa umechangia pakubwa katika kazi ya Tume Ya Uchunguzi 29 Oktoba . Ripoti itakuwa huru, yenye mamlaka na itakidhi...
0 Reactions
4 Replies
367 Views
Nimekaaa nikatafakari nikagundua silver spoon ya Maandamano. Tanzania bara kuna vituo vya kura 97K, hata ukipeleka Askari polisi Mmoja mmoja kila kitu unacover asilimia 50 pekee ya vituo na...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom