Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
37,287
Reaction score
86,699
Hamjambo wote!

Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu.

Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

Maana GenZ wanasema hawaoni umuhimu wa Zanzibar. Ila wakiambiwa historia halisi wanaweza kuuona umuhimu wa Muungano.

Tatu, historia inaeleza Utawala wa ujerumani ulinunua rasmi eneo la zanzibar lililopo Tanganyika na rasmi maeneo ya pwani ya bahari ya hindi kuanzia Dsm, pangani, Tanga, lindi kuwa mali hali ya Tanganyika mpaka hivi leo.

Acha niache wakubwa waje waeleze kinagaubaga.

Karibuni
 
Naona taratibu tunaingizwa kwenye mgogoro wa Zanzibar na Tanganyika ili tuache kufikiri mambo ya msingi, japo ni moja ya mambo ya msingi ya kuangaliwa, tusipokuwa makini tutaingia kwenye vita ya hovyo Sana.
 
Hamjambo wote!

Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu.

Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

Maana GenZ wanasema hawaoni umuhimu wa Zanzibar. Ila wakiambiwa historia halisi wanaweza kuuona umuhimu wa Muungano.

Tatu, historia inaeleza Utawala wa ujerumani ulinunua rasmi eneo la zanzibar lililopo Tanganyika na rasmi maeneo ya pwani ya bahari ya hindi kuanzia Dsm, pangani, Tanga, lindi kuwa mali hali ya Tanganyika mpaka hivi leo.

Acha niache wakubwa waje waeleze kinagaubaga.

Karibuni
Labda ianze vita baada ya kuvunjika muungano, atakayeshinda atachukua hayo maeneo.
 
Sio kweli, katiba ya kwanza ya Tanganyika na zanzibar zinaeleza wazi mipaka ya nchi zote mbili. Na hyo Coast ya Mtwara mpaka Tanga ni sehemu ya Tanganyika.

Hizi ni Propaganda tu za CCM kuhadaa watu. Nakumbuka waliwahi kudai zanzibar ikiwa huru italeta magaidi, yote tu kutisha watu ili wasiuguse muungano ila hamna lolote.
 
Shida yao kubwa siku zote ni kutuona wananchi kama watu tusio na akili ya kufikiri mambo madogo kama haya.
 
Hakuna hiko kitu.Sababu ya muungano ni kuwasaidia znz.Kumbuka znz inaonekana kijeshi ni sehemu ya mkoa wa tanzania

Nazungumzia muungano ushavunjika. Je baadhi ya maeneo ya Tanganyika ni himaya ya Zanzibar?
Kilometa 162 toka usawa wa bahari ni Mali yao halali.

Hiki niliwahi kusikia kama sio kusoma mahala
 
Hamjambo wote!

Kama swali linavyoeleza hapo juu. Mwenye Majibu ya haki aje hapa na atoe majibu.

Pili, ni maeneo gani yaliyopo Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

Maana GenZ wanasema hawaoni umuhimu wa Zanzibar. Ila wakiambiwa historia halisi wanaweza kuuona umuhimu wa Muungano.

Tatu, historia inaeleza Utawala wa ujerumani ulinunua rasmi eneo la zanzibar lililopo Tanganyika na rasmi maeneo ya pwani ya bahari ya hindi kuanzia Dsm, pangani, Tanga, lindi kuwa mali hali ya Tanganyika mpaka hivi leo.

Acha niache wakubwa waje waeleze kinagaubaga.

Karibuni
Jambo kubwa na la maana ni kuwa na serikali moja ya JMT ama la ziwepo serikali tatu zinazotambulika, yaani serikali za Tanganyika na Zanzibar, na moja ya muungano ambayo itashighulika na mambo ya muungano tu.
 
Back
Top Bottom