Salaam Wakuu,
Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa.
BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani.
Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine...
Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment...
Lipeni stahiki za walimu..
Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu.
Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga...
Hamjambo wakuu!
1. Sio mbali wala Siku sip nyingi nchi hii itaongozwa na Upinzani kabla ya 2040.
2. Tuombe uzima. Hapa ninachojaribu kufanya projection hali itakavyokuwa.
3. CCM sasa imegeuka...
Mimi nilikuwa mfuasi mkubwa Freeman Mbowe along side Lisu being my favorite politician. Hivyo to me the outcome of election was balanced!
Hoja yangu: Kama Yeriko Nyerere anaweza kuandika haya...
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya...
Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa.
Tanzania hii...
Mataifa yamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
◇Kuanzia kwenye uwekezaji hadi miradi aliyoahidi wananchi
◇Anakwenda kuwa Rais aliyejenga reli ya kisasa nchi nzima
◇Zipo nchi jirani...
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa.
UPDATES:
Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti...
Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153.
Tume hiyo iliyoongozwa...
Kwa vile Tume hiyo haiaminiki na imekataliwa n.a. wananchi wote, Ni Vema mnapohudhuria vikao vyake n.a. hasa nyinyi mnaoitwa mmoja mmoja ni Muhimu mno mkatoa Taarifa hapa jf ili tuwawekee ulinzi...
HOTUBA YA MBOWE
Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum...
Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.
Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.
CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa...
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana .
Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi...
Mwabukusi: Uendeshaji wa shauri la Lissu hauzingatii uadilifu wala sheria zinavyotaka, na tukitoka hapa tuzungumze tusiogope, kama rungu litaanza na sisi viongozi wanu. Tusiruhusu kiongozi...
Wanabodi,
Salaam,
Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni...
Juma & Chande
Ukiacha kutetea CCM hawa majaji hawajalifanyia chochote cha maana kwenye uongozi wao badala yake wamegeuza mahakama kuwa chombo cha kisiasa kwa kujali matumbo yao na kuuza mahakama...
Mpo salama!
1. CCM ni chama Dola, kikongwe na ambacho kimefanyia mambo mengi mazuri nchi yetu ikiwemo Umoja wa kitaifa tangu 1961 mpaka hivi karibuni ambapo kidogo mambo ndio yameanza kukorogana...
Moja ya Taarifa za kusikitisha leo ni kifo cha Bi Anna Komu, kada wa CHADEMA kwa zaidi ya miongo 3.
Anna Komu alishika nyazifa mbalimbali za ngazi za juu kabisa ikiwemo ujumbe wa bodi ya udhamini...
Halima Somda - THRDC
Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa...