Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Mama Samia atakumbukwa kwa : Mauaji yalitokea Oktoba 29 Wizi wa kura Rushwa Undungu kutokutimiza wajibu wake Mambo yaliyomshinda Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na...
9 Reactions
Replies
Views
Kwa mujibu wa ibara ya 50(1) ya Mkataba unaoanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kila nchi mwanachama wa Jumuiya zinapaswa kuchagua wawakilishi tisa kwenda kuwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika...
5 Reactions
6 Replies
484 Views
Kwanza kabisa, kama wadau wa siasa za Tanzania, sina shaka yoyote kwamba sote tunakubaliana kwamba, Tanzania hakuna vibrant opposition, wala hakuna united opposition kuchallenge the ruling party...
1 Reactions
9 Replies
227 Views
Sina namna yoyote nyingine ya kuwafanya Wajumbe hao kwa utumbo waliouandaa katika kinachoitwa ripoti ya Uchunguzi wa vurugu za October 29 Kwa tafsiri isiyo rasmi kumdharau Mtu ni sawa na...
11 Reactions
21 Replies
352 Views
Aliongoza Tume ya kuchunguza Mauaji ya kinyama ya bonde la Ihefu 2006 Na Baadaye akapewa tena shavu la kuongoza kilichoitwa tume ya Haki Jinai Yeyote mwenye chochote kilicholetwa na Tume zake...
3 Reactions
21 Replies
317 Views
SAsa kesho ndio tunasikia kupanda kwa nauli za usafirishaji,wenzetu kenya wameshaingia kwenye phase 2 yaani uhaba wa mafuta kutoka phase 1 ya kupanda bei. Kesho Bi mkubwa atakuja na bla bla kibao...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake. Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye...
5 Reactions
10 Replies
914 Views
Ccm mtandao wako bize kusaini mikataba ya kununua umeme kutoka Ethiopia huku bwawa la umeme la Mwl Nyerere likitumika kwa asilimia 40 tu mpaka sasa. Humphrey Polepole hautasahaulika vizazi na...
5 Reactions
21 Replies
913 Views
Tatizo la kuondoa vipaji na kuweka machawa ndiyo kunaonyesha mapungufu ya Raisi. Yule Raisi wa 2021-2022 sio huyu
2 Reactions
10 Replies
827 Views
As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of...
14 Reactions
21 Replies
517 Views
Waziri Paul Makonda aliyasema hayo wakati anazindua mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na mmomonyoko wa maadili leo April 29 2026
9 Reactions
148 Replies
3K Views
Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Ukiondoa mapungufu ya uundwaji wa Tume yenyewe, inaonyesha Mwenyenayo hajaielewa na Wananchi hawaielewi. Kauli kama hizi baada ya Tume kukabidhi ripoti zinaleta wasiwasi zaidi. Picha za...
11 Reactions
32 Replies
505 Views
Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016. Jaji Chande Othman...
27 Reactions
244 Replies
34K Views
Hili ni bora likafahamika mapema tu kwa watu wote, Hatuwezi kusahau Mauaji ya maelfu ya Watanganyika kwa gharama ya hela za madafu walizopewa akina Bitchuka, uhai wa binadamu haujawahi...
17 Reactions
54 Replies
874 Views
  • Featured
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Baada ya kelele za wadau hatimaye Alloyce Nyanda ameachiwa akiwa hai Ikumbukwe kwamba Nyanda mtu mwenye Kula ugali n.a. Sangara mkavu alituhumiwa kufadhili vikundi vya mitandaoni, Tukashangaa...
24 Reactions
45 Replies
1K Views
  • Redirect
Sote ni mashahidi jinsi ambavyo AZAKI zilivyokua zinacelebrate na kufanya projections za vifo vya waTanzania kuhusu ghasia za Oct.29.2025, kabala ya tume ya jaji chande kuingia kazini na kuja na...
0 Reactions
Replies
Views
As the ICC prepares a landmark dossier on the 2025 massacres, President Samia Suluhu Hassan is trading state funds for Republican influence in a desperate bid to escape global pariah status. By...
5 Reactions
4 Replies
266 Views
Back
Top Bottom