Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Poll Poll
Baada ya kusoma matokeo ya tume hapo juzi ni muda sasa wa kuipigia kura
2 Reactions
22 Replies
397 Views
Mimi nilikuwa mfuasi mkubwa Freeman Mbowe along side Lisu being my favorite politician. Hivyo to me the outcome of election was balanced! Hoja yangu: Kama Yeriko Nyerere anaweza kuandika haya...
15 Reactions
38 Replies
869 Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya...
2 Reactions
Replies
Views
Tanzania Ina system ya kubebana na kubeba watu wasiokua na uwezo ndo imefisha nchi hapa akitoka Jaji kuongea anaongea kama mtu wa darasa la saba au hajawai kwenda shule kabisa. Tanzania hii...
9 Reactions
13 Replies
345 Views
Mataifa yamuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ◇Kuanzia kwenye uwekezaji hadi miradi aliyoahidi wananchi ◇Anakwenda kuwa Rais aliyejenga reli ya kisasa nchi nzima ◇Zipo nchi jirani...
1 Reactions
4 Replies
141 Views
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa. UPDATES: Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti...
11 Reactions
56 Replies
1K Views
  • Featured
Hatimaye Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imetoa ripoti yake baada ya kufanya uchunguzi kwa siku 153. Tume hiyo iliyoongozwa...
41 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwa vile Tume hiyo haiaminiki na imekataliwa n.a. wananchi wote, Ni Vema mnapohudhuria vikao vyake n.a. hasa nyinyi mnaoitwa mmoja mmoja ni Muhimu mno mkatoa Taarifa hapa jf ili tuwawekee ulinzi...
13 Reactions
16 Replies
477 Views
HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum...
18 Reactions
43 Replies
5K Views
Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania. Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana. CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa...
4 Reactions
21 Replies
355 Views
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana . Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi...
6 Reactions
15 Replies
539 Views
Mwabukusi: Uendeshaji wa shauri la Lissu hauzingatii uadilifu wala sheria zinavyotaka, na tukitoka hapa tuzungumze tusiogope, kama rungu litaanza na sisi viongozi wanu. Tusiruhusu kiongozi...
5 Reactions
12 Replies
321 Views
Wanabodi, Salaam, Kati ya eneo gumu sana kwenye tasnia ya habari ni eneo la uchambuzi wa habari, news analysis. Japo Tanzania tuna vyombo vingi vya habari, na waandishi wengi wa habari, ni...
11 Reactions
77 Replies
7K Views
Juma & Chande Ukiacha kutetea CCM hawa majaji hawajalifanyia chochote cha maana kwenye uongozi wao badala yake wamegeuza mahakama kuwa chombo cha kisiasa kwa kujali matumbo yao na kuuza mahakama...
8 Reactions
14 Replies
334 Views
Mpo salama! 1. CCM ni chama Dola, kikongwe na ambacho kimefanyia mambo mengi mazuri nchi yetu ikiwemo Umoja wa kitaifa tangu 1961 mpaka hivi karibuni ambapo kidogo mambo ndio yameanza kukorogana...
5 Reactions
10 Replies
358 Views
Moja ya Taarifa za kusikitisha leo ni kifo cha Bi Anna Komu, kada wa CHADEMA kwa zaidi ya miongo 3. Anna Komu alishika nyazifa mbalimbali za ngazi za juu kabisa ikiwemo ujumbe wa bodi ya udhamini...
3 Reactions
13 Replies
310 Views
  • Featured
Halima Somda - THRDC Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa...
23 Reactions
50 Replies
2K Views
Emmanuela Mtatifikolo Licha ya kuongoza kura za Maoni katika Mchakato wa Uchaguzi wa Ubunge, Jimbo la Isimani (Mkoa wa Iringa), Kamati Kuu ya CCM, imemuweka kando Mfanyabiashara Fred Ngajiro...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
  • Redirect
Wananchi wamechukua nafasi muhimu katika kufichua siri za ghasia. Katika maeneo mengi, vijana walikuwa wakikusanywa na kufunzwa kwa muda mrefu. Ripoti inasema kuna nyumba salama Dar es Salaam...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mama Samia atakumbukwa kwa : Mauaji yalitokea Oktoba 29 Wizi wa kura Rushwa Undungu kutokutimiza wajibu wake Mambo yaliyomshinda Kuweka usalama hasa wa Polisi na sasa kuendeshwa na Polisi na...
9 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom