Majaji : Juma & Chande sio kama Nyalali & Warioba

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,732
Reaction score
15,394
Juma & Chande

Ukiacha kutetea CCM hawa majaji hawajalifanyia chochote cha maana kwenye uongozi wao badala yake wamegeuza mahakama kuwa chombo cha kisiasa kwa kujali matumbo yao na kuuza mahakama kwa serikali.

Wenzao waliopita wenye majina ya majaji walikuwa wanaheshimika sana kama wapigania haki sio matumbo. Sasa mahakama zao zimekalisha wabunge fake kwa miaka mitano bungeni!! Lissu yupo jela kwa kesi inayoenda zaidi ya mwaka bila ushahidi wa maana.

Polisi hawashitakiki , CCM kila inachofanya kipo kisheria na wamejaza majaji wabaya wanasiasa bila kuwapa adhabu!. Leo eti wanashangaa kutukanwa bila kujua wenyewe ni janga la taifa
 
CJ Nyalali huwezi kumlinganisha na hizi excreta za watawala. Tena alikuwa CJ wakati wa mfumo wa chama kimoja!
Kuna chochote alikifanya wakati wa nyerere zaidi ya kuunga mkono sera zake za ukandamizaji zinazoendelea mpaka leo
 
Ukitaka mkujua shughuli za huyu unayemtaka hapa bila kuwa na taatifa, muulize Wassira.
 
Juma na Chande ni zaidi ya uozo kwenye mfumo wa haki.

Hawa majaji matumbo utawalingnisha kwa kitu gani na jaji Nyalali. Nyalali ataendelea kuwa rejea muhimu mfumo wa haki unapotajwa.
 
Juma & Chande

Ukiacha kutetea CCM hawa majaji hawajalifanyia chochote cha maana kwenye uongozi wao badala yake wamegeuza mahakama kuwa chombo cha kisiasa kwa kujali matumbo yao na kuuza mahakama kwa serikali.

Wenzao waliopita wenye majina ya majaji walikuwa wanaheshimika sana kama wapigania haki sio matumbo. Sasa mahakama zao zimekalisha wabunge fake kwa miaka mitano bungeni!! Lissu yupo jela kwa kesi inayoenda zaidi ya mwaka bila ushahidi wa maana.

Polisi hawashitakiki , CCM kila inachofanya kipo kisheria na wamejaza majaji wabaya wanasiasa bila kuwapa adhabu!. Leo eti wanashangaa kutukanwa bila kujua wenyewe ni janga la taifa

Ni kama kulinganisha maji na mafuta. Mafuta lazima yatakuja juu.
 
Back
Top Bottom