Umuhimu wa Mei Mosi umekwisha?

Umuhimu wa Mei Mosi umekwisha?

Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.

Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.

CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.
Kwani zamani CCM hakikuwepo?
 
Serikali haina ushawishi kwa wananchi.
Serikali imepuuzwa na wananchi.
Serikali ya wauwaji 🚮
 
Siku ya watumwa mei mosi siku kuu ya mfanyakazi ni kua boss
 
Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.

Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.

CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.

Ni kama hizi sherehe kwa sasa zimepoteza hamasa yake na umuhimu wake kwa watanzania.

Zamani siku kama ya Leo shamrashamra zake zingekuwa kubwa sana.

CCM wameshusha hadhi ya mbio za mwenge, Sasa wameharibu kabisa sherehe adhimu za wafanyakazi.
Siku hizi hakuna huruma kazini rushwa imetawala hadi kwenye haki yako ya malipo
 
Kuilaumu CCM haitosaidia, wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom