PostGE2025 Asasi za Kiraia: Tume ilitumia taarifa za Polisi ambao nao wanatuhumiwa kuua waandamanaji

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
200
Reaction score
803
Halima Somda - THRDC

Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa tume huru ya kimataifa na kuwalipa fidia waathirika wa vurugu hizo.

Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Othman Chande ilikapbidhi ripoti hiyo Aprili 23 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Dar es Salaam.

Taasisi hizo ni pamoja na Legal and Human Rights Centre (LHRC), Tanganyika Law Society (TLS), Centre for Strategic Litigation (CSL), Twaweza EA, Affirmative action on Gender Equality Network (AGEN)-Tanzania, Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), Tanzania Transparency Forum (TRAFO), Taasisi Mwenyeji, Kiutawala, wa Tanzania Governance Multi-Stakeholders Group (TG-MSG), Jukwaa la Katiba Tanzania na Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA), Taasisi Mwenyeji, Kiutawala, wa Vuguvugu la RAIA Ni SiSi, Tanzania.

Nyingine ni National Consortium of Civic Education in Tanzania (NACOCET), Muungano wa Vyama Vya Wavuvi Tanzania (FUO), Pastoralists Indigenous Non-Governmental Organizations Forum (PINGOS Forum), Centre Against Gender Based Violence (CA-GBV) na Tanzania Child Welfare (TCW).

Akieleza kasoro zilizojitokeza wakati wa ukusanyaji wa taarifa wa tume hiyo, Mwakilishi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Halima Sonda alisema Tume hiyo ilitumia vyanzo rasmi (Polisi, vituo vya afya) ambavyo wakati mwingine vinalalamikiwa kuwa wahusika wakuu wa ukiukaji wa haki. Polisi wanatuhumiwa kuingilia utendaji wa mahospitali na vituo vya afya.

Alisema pia tume hiyo imeshindwa kubainisha viongozi walioshindwa kufanyia kazi maoni ya wadau yaliyotolewa tangu mapema kabla ya uchaguzi ili kuzuia machafuko, huku pia ikishindwa kuwataja kwa uwazi watu waliohusika na amri za utekaji, mauaji, na upotezaji wa watu takriban 700.

Kuhusu makambi na mafunzo kwa waandamanaji, Sonda alisema ingawa tume imetaja uwepo wa makambi ya mafunzo kwa wahusika wa ghasia, imeshindwa kubainisha mafunzo hayo yalitolewa na nani na katika maeneo gani mahususi.
 
Attachments

  • Azaki 3 Jebra.mp4
    22.9 MB
  • Lwaitama.mp4
    23.7 MB
  • Bubelwa.mp4
    16.9 MB

View attachment 3580344
Alisema pia tume hiyo imeshindwa kubainisha viongozi walioshindwa kufanyia kazi maoni ya wadau yaliyotolewa tangu mapema kabla ya uchaguzi ili kuzuia machafuko, huku pia ikishindwa kuwataja kwa uwazi watu waliohusika na amri za utekaji, mauaji, na upotezaji wa watu takriban 700.

Kuhusu makambi na mafunzo kwa waandamanaji, Sonda alisema ingawa tume imetaja uwepo wa makambi ya mafunzo kwa wahusika wa ghasia, imeshindwa kubainisha mafunzo hayo yalitolewa na nani na katika maeneo gani mahususi.
useless
 
Ni sahihi kabisa kuwa wewe ni useles creature. Wewe ni shetani. Huna ubinadamu wala utu. Ni jitu linalofurahia vifo vya wanadamu wengine, ukijiona wewe una haki ya kuua wengine.
Mtu kama wewe kamwe hutaikwepa ghadhabu ya Mungu wetu wa haki. Tubu, uthamini uhai wa wanadamu wenzako.
tuliza mihemko gentleman, changia hoja bila kiwewe useless na uache ramli zako barbaric
 
Halima Somda - THRDC

Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa tume huru ya kimataifa na kuwalipa fidia waathirika wa vurugu hizo.

Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Othman Chande ilikapbidhi ripoti hiyo Aprili 23 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Dar es Salaam.

Taasisi hizo ni pamoja na Legal and Human Rights Centre (LHRC), Tanganyika Law Society (TLS), Centre for Strategic Litigation (CSL), Twaweza EA, Affirmative action on Gender Equality Network (AGEN)-Tanzania, Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), Tanzania Transparency Forum (TRAFO), Taasisi Mwenyeji, Kiutawala, wa Tanzania Governance Multi-Stakeholders Group (TG-MSG), Jukwaa la Katiba Tanzania na Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA), Taasisi Mwenyeji, Kiutawala, wa Vuguvugu la RAIA Ni SiSi, Tanzania.

Nyingine ni National Consortium of Civic Education in Tanzania (NACOCET), Muungano wa Vyama Vya Wavuvi Tanzania (FUO), Pastoralists Indigenous Non-Governmental Organizations Forum (PINGOS Forum), Centre Against Gender Based Violence (CA-GBV) na Tanzania Child Welfare (TCW).

Akieleza kasoro zilizojitokeza wakati wa ukusanyaji wa taarifa wa tume hiyo, Mwakilishi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Halima Sonda alisema Tume hiyo ilitumia vyanzo rasmi (Polisi, vituo vya afya) ambavyo wakati mwingine vinalalamikiwa kuwa wahusika wakuu wa ukiukaji wa haki. Polisi wanatuhumiwa kuingilia utendaji wa mahospitali na vituo vya afya.

View attachment 3580344
Alisema pia tume hiyo imeshindwa kubainisha viongozi walioshindwa kufanyia kazi maoni ya wadau yaliyotolewa tangu mapema kabla ya uchaguzi ili kuzuia machafuko, huku pia ikishindwa kuwataja kwa uwazi watu waliohusika na amri za utekaji, mauaji, na upotezaji wa watu takriban 700.

Kuhusu makambi na mafunzo kwa waandamanaji, Sonda alisema ingawa tume imetaja uwepo wa makambi ya mafunzo kwa wahusika wa ghasia, imeshindwa kubainisha mafunzo hayo yalitolewa na nani na katika maeneo gani mahususi.
Mzizi wa ujinga uko hapo kuhusu ripoti ya Chande. Tume ikaamini Taarifa ya Polisi walioua lkn wakatilia mashaka Taarifa ya kijana aliyenusurika kwenye tukio la kikatili Mjimwema Mwanza kwenye banda la mpira.
 
Ok
 
Huyu Chande na Timu yake wote ni taaabu lalasa... Vihivyo wa kutuptwa... report yako imejaa maujinga matupu.. sijui wanajisikiaje wanapokoselewa na jamii ya watoa maoni humu ndani...
 
Kulikoni wametaharuki sana na kuja juu sana ikiwa hawakuhusika kupanga na kutekeleza vurugu na maafa ya Oktoba .29.2025?

Walisubiri nini kutoa hizi porojo zao awali mpaka walipotajwa kuhusika moja kwa moja na maafa na tume ya Jaji Chande?

Je,
AZAKI sio matapeli wa pesa za mabwenyenye wanaojificha chini ya mgongo wa haki za binadamu kweli?

Mungu Ibariki Tanzania.
 
ILE NI TUME AU TAKATAKA.SAMIA AMESHASEMA RIPOTI YA TUME NI MALI YAKE KWAHYO HAKUNA TUME PALE NI KUNDI LILOTUMWA NA SAMIA KWA NIABA YAKE NA SI KWAAJILI YA WATZ.FIKIRISHA AKILI WW HAKUNA GARMA MJINGA KM WW
 
Wameibuka baada ya
Halima Somda - THRDC

Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa tume huru ya kimataifa na kuwalipa fidia waathirika wa vurugu hizo.

Tume hiyo inayoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu, Mohamed Othman Chande ilikapbidhi ripoti hiyo Aprili 23 kwa Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu ya Dar es Salaam.

Taasisi hizo ni pamoja na Legal and Human Rights Centre (LHRC), Tanganyika Law Society (TLS), Centre for Strategic Litigation (CSL), Twaweza EA, Affirmative action on Gender Equality Network (AGEN)-Tanzania, Tanzania Human Rights Defenders Coalition (THRDC), Tanzania Transparency Forum (TRAFO), Taasisi Mwenyeji, Kiutawala, wa Tanzania Governance Multi-Stakeholders Group (TG-MSG), Jukwaa la Katiba Tanzania na Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA), Taasisi Mwenyeji, Kiutawala, wa Vuguvugu la RAIA Ni SiSi, Tanzania.

Nyingine ni National Consortium of Civic Education in Tanzania (NACOCET), Muungano wa Vyama Vya Wavuvi Tanzania (FUO), Pastoralists Indigenous Non-Governmental Organizations Forum (PINGOS Forum), Centre Against Gender Based Violence (CA-GBV) na Tanzania Child Welfare (TCW).

Akieleza kasoro zilizojitokeza wakati wa ukusanyaji wa taarifa wa tume hiyo, Mwakilishi wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Halima Sonda alisema Tume hiyo ilitumia vyanzo rasmi (Polisi, vituo vya afya) ambavyo wakati mwingine vinalalamikiwa kuwa wahusika wakuu wa ukiukaji wa haki. Polisi wanatuhumiwa kuingilia utendaji wa mahospitali na vituo vya afya.

View attachment 3580344
Alisema pia tume hiyo imeshindwa kubainisha viongozi walioshindwa kufanyia kazi maoni ya wadau yaliyotolewa tangu mapema kabla ya uchaguzi ili kuzuia machafuko, huku pia ikishindwa kuwataja kwa uwazi watu waliohusika na amri za utekaji, mauaji, na upotezaji wa watu takriban 700.

Kuhusu makambi na mafunzo kwa waandamanaji, Sonda alisema ingawa tume imetaja uwepo wa makambi ya mafunzo kwa wahusika wa ghasia, imeshindwa kubainisha mafunzo hayo yalitolewa na nani na katika maeneo gani mahususi.
Wameibuka baada ya kutajwa na tume ya Jaji Chande. Binafsi sijawahi kuwasikia hawa wakielezea zuri lolote la TZ
 
Gentleman,
Swali ni dogo tuu!
Nani alitoa amri ya kuua raia kwa risasi za moto?
tume ya jaji chande ilieleza vema sana kuhusu hako kaswali kadogo na kipesi sana kisheria gentleman,
ikiwa humsikiliza vema jaji chande, nadhani hako ni kachangamoto kako binafsi pia inafaa ukashughulikie kibinafsi
 
ILE NI TUME AU TAKATAKA.SAMIA AMESHASEMA RIPOTI YA TUME NI MALI YAKE KWAHYO HAKUNA TUME PALE NI KUNDI LILOTUMWA NA SAMIA KWA NIABA YAKE NA SI KWAAJILI YA WATZ.FIKIRISHA AKILI WW HAKUNA GARMA MJINGA KM WW
calm down mamaluki wa AZAKI, DONT PANIC! unaharibu zaidi,

mlikua wapi mpaka mmetajwa kuhusika kupanga, kufadhili na kutekeleza mauaji ya wananchi oct.29.2025?
hakuna haja ya kuweweseka
 
tume ya jaji chande ilieleza vema sana kuhusu hako kaswali kadogo na kipesi sana kisheria gentleman,
ikiwa humsikiliza vema jaji chande, nadhani hako ni kachangamoto kako binafsi pia inafaa ukashughulikie kibinafsi

Gentleman,
Swali ni dogo sana,
Nani aliamuru watu kupigwa risasi?
Amri ya kuua watu aliitoa nani?
Tume ya ile haijajibu hayo maswali, Gentleman.
 
Gentleman,
Swali ni dogo sana,
Nani aliamuru watu kupigwa risasi?
Amri ya kuua watu aliotoa nani?
Tume ya Kande haijajibu hayo maswali, Gentleman.
gentleman,
ikiwa unaendekeza uvuvu kwenye vitu ambavyo viko wazi na kwenye public diomain, hilo ni tatizo lako.
ripoti ya jaji chande haijaachwa swali hata moja
 
Back
Top Bottom