Chawa na wanafiki hawakosekani popote.. Na kuna wale fuata mkumbo.. Mawazo hayapo, akili haipo akisikia makofi naye anakurupuka kupiga😀Ni ajabu sana ule ukumbi wote walikuwa wanafahamu ile ripoti ni uongo mtupu na data zimepikwa, nchi ya kishenzi sana hii. Tena walivyo wanafiki na makofi walikuwa wanapiga.
Kitendo walichofanya cha mauaji ni suala la muda tu itadhirika kati serikali na wananchi nani ni boss...
Kuwe na more choices, imekidhi kiasi, PostGE2025 - Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.Baada ya kusoma matokeo ya tume hapo juzi ni muda sasa wa kuipigia kura
Ndicho kitu cha kwanza nilichokifanya, ni kupiga kura!.Kura yako muhimu mkuu
Unfortunately Uko biasedBaada ya kusoma matokeo ya tume hapo juzi ni muda sasa wa kuipigia kura