Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wote tunajua kuwa kwa Chadema matusi ni sehemu ya Siasa zake. Lakini jueni kuwa ulimwengu wa sasa umehama kutoka kwenye siasa za matusi kwenda kwenye siasa za hoja. Hii tabia za kuwatukana...
-1 Reactions
17 Replies
345 Views
Gazeti la The Economist la Aprili 30, 2026 limechapisha makala yenye kichwa: "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most disappointing president?" — yaani "Je, Samia Suluhu Hassan ndiye rais...
3 Reactions
8 Replies
422 Views
Nenda kwenye ofisi mbalimbali za umma. Watumishi wengi wanaiponda sana serikali hii iliyopo madarakani. Tofauti na kipindi alipokuwepo hayati JPM maana aliaimamia nidhamu na mabosi kama...
1 Reactions
12 Replies
243 Views
Kumbukumbu yaonyesha kwama yale maneno ya tume kama 1. Wanajiteka 2. Wanatekana sababu mapenz 3. Wameenda kutafuta maisha 4. Hakuna utekaji 5. Walilipwa kuandamana 6. Namengineyo Soma pia...
8 Reactions
6 Replies
256 Views
= Hiki ndicho alichoandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwenye Ukura wake wa X, amekumbusha kuwa, "Kwa kipindi cha miaka 62 mfululizo, Tanzania imekuwa...
5 Reactions
37 Replies
440 Views
Kuna mtu kakataliwa na Mungu aliyemuumba, Mungu anatumia umma kumwadhibu, Farao yule wa Misiri, alifanywa moyo wake kuwa mgumu ili aendelee na ushetani wake ili aje kujionea ukuu wa Mungu kwa...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Anonymous
Mimi ninaitwa Athumani, Ninaandika kueleza kero yangu kubwa na usumbufu ninaoupata kuhusiana na matumizi yasiyo sahihi ya taarifa zangu binafsi, hasa namba yangu ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)...
1 Reactions
15 Replies
556 Views
Mwafrika ni kichwa ngumu maneno haya aliyasema Daniel arap moi wa kenya Leo kuna watu wanaamini akiingia Nchimbi, Majaliwa, Makonda n.k labda ataleta mabadiliko hawa ni aina ya watu ambao ni...
15 Reactions
32 Replies
424 Views
Japo.bado ana mda lakini matumaini ni kidogo. Kikwete alituachia A. Mazuri 1. Daraja la kigamboni 2. Chuo kikuu Dodoma 3. Chuo kikuu Nelson Mandela Arusha 4. Barabara mabasi ya mwendokasi 5.Ajira...
7 Reactions
24 Replies
416 Views
Anonymous
Habari nafuatilia sana platform hii kwakweli kazi kubwa mnaifanya hasa kwa kutoa taarifa bila upendeleo Mwenyezi Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwaongoza vyema. KERO YANGU KUBWA Ni kuhusu hizi...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya...
1 Reactions
32 Replies
967 Views
Rais Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwaka 2021 amechukua hatua kadhaa zinazohusu wafanyakazi, hasa katika sekta ya umma na mazingira ya kazi kwa ujumla. Hapa kuna mambo muhimu...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!. Magufuli alipata wafuasi wengi kwasababu hakuwa fake pamoja na mapungufu yake. Lissu naye hajawahi kuwa fake. Mama Samia ndiyo maana...
4 Reactions
6 Replies
308 Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba...
1 Reactions
2 Replies
237 Views
Nimetoka kuangalia hii video chini, huko Tanga wana CCM wakiandamana kukatwa kwa Ummy Mwalimu, nimechambua na taarifa zingine za maandamano na malalamiko ya Wanaccm. Kuna fursa ya kutekeleza...
4 Reactions
7 Replies
439 Views
https://www.youtube.com/live/UIdXliSzNj8?si=xM0pp-AtpkBwqzhm Video: Courtesy State House
1 Reactions
15 Replies
254 Views
https://youtu.be/QIqjJSoPFQ4?si=3-ZD6Dz4OrPa60Oq HOJA ZA UTETEZI WA SERIKALI HARAMU YA CCM ILIYOJIWEKA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI KUMTWISHA MZIGO MWANANCHI: ##Wanasema, wananchi acheni...
7 Reactions
10 Replies
317 Views
Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine...
0 Reactions
8 Replies
207 Views
Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment... Lipeni stahiki za walimu.. Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu. Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Hamjambo wakuu! 1. Sio mbali wala Siku sip nyingi nchi hii itaongozwa na Upinzani kabla ya 2040. 2. Tuombe uzima. Hapa ninachojaribu kufanya projection hali itakavyokuwa. 3. CCM sasa imegeuka...
6 Reactions
23 Replies
331 Views
Back
Top Bottom