Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waonaji mbalimbali wanasema Rais ajaye ni islamic tena. Ila habari nilizopenyezewa ni kuwa upande wa kaskazini ndiko Rais atatokea 2025. Je nchi yetu iko tayari kuongozwa na kanali wa jeshi...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
A) Biteko, B) Mbawala, C) Kalemani?
1 Reactions
30 Replies
1K Views
TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau...
2 Reactions
12 Replies
744 Views
Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania. Kwanza Mh. Rais ametambua...
7 Reactions
84 Replies
4K Views
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Sometimes kufaninishwa na nyani kwa muafrika ni halali kulingana na mentality zetu za kitumwa. Nasikitika sana rais kutangaza siku tano za kuomboleza kitaifa kufuatia kifo cha mkoloni. Hii...
2 Reactions
13 Replies
758 Views
Serikali na Mabenki mezani kujadili Makali ya Tozo --- "Rais Samia Suluhu Hassani kwenye Bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 ametenga Sh954 bilioni sawa na asilimia 224 ya bajeti yetu jambo ambalo...
2 Reactions
101 Replies
7K Views
Tukutane Kinondoni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] ZOEZI LA UGAWAJI WA KADI ZA BIMA KWA MABALOZI 603 KATIKA JIMBO LA KINONDONI. #CCMImara #KaziIendelee
0 Reactions
3 Replies
394 Views
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ameelezea mafaniko ya Serikali ya awamu ya sita katika kwenye kada ya elumu ambapo amesema mwaka 2021/22 walimu wapya 24749 wameajiriwa huku malimbikizo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanabodi, Hizi ndiyo gharama halisi za kuunganishiwa umeme kwenye nyumba yako na TANESCO. Je haya yote ni ya kweli? na kama ni ya kweli, je shirika hili linapata faida ya kuiwezesha kujiendesha?
0 Reactions
7 Replies
666 Views
Tunakumbushana tu historia kwamba Tanganyika ilikuwa ni koloni la Uingereza. Na uhuru wetu hatukuumwagia damu tulipewa mezani kama vilivyo vyama mbadala wa CCM akina CHADEMA nk. Msiba wa Malkia...
0 Reactions
2 Replies
576 Views
Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi? Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Mchambuzi wa maswala ya siasa ndugu Bante amesema amekutana na Waziri wa Fedha Mbeya akitumia gari ya Tsh milioni 500 hii halikubaliki na ni matumizi mabaya ya Tozo zetu Bante amesema anashangaa...
12 Reactions
28 Replies
3K Views
Wasaliti ambao walijitoa ufahamu baada ya magufuli kuwapa madaraka/Ulaji. Wasaliti kutoa all walks of life not necessarily from opposition who crossed the flour! So many of them, let us keep good...
0 Reactions
5 Replies
608 Views
Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna siku niliwahi kuandika Uzi kuhusu dogo p sio mtu wa kumuamini basi wafuasi wake na wale mjomba walinishambulia sana kwa maneno hadi nikajiamuria kukaa kimya Sasa Leo hii huyu dogo p kapewa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Jakaya Kikwete alikuwa kiongozi wa waangalizi, kwa upande huu wa Afrika Mashariki, Katika uchaguzi mkuu, uliomazika hivi Katibuni nchini Kenya. Tulimsikia pia Rais huyo mstaafu, akiwasihi...
2 Reactions
1 Replies
821 Views
Hakika baada ya kufafanuliwa Jinsi KOKOKOTOO KIPYA kinavyofanya kazi Nawaonea HURUMA Watumishi wa UMMA wanaotarajia KUSTAAFU kuanzia Tarehe 1/6/2022 Ukweli Hayati MAGUFULI kwa KIKOKOTOO hiki...
12 Reactions
81 Replies
12K Views
Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka...
18 Reactions
61 Replies
5K Views
Back
Top Bottom