Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza.
Uvumi unaweza kusambaa haraka sana...
Hizi ni tetesi, Simbachawene ndiyo anaandaliwa kuchukua kijiti cha ukuu wa kaya 2030.
Wanaomuandaa wanamuona ni mtu mnyenyekevu, hana makuu na asiyekuwa na makundi, siyo kama hawa vijana wa sasa...
Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa...
Ndugu zangu, Nchi yoyote yenye Wabunge Majasiri na wanaojitambua haiwezi kukosa maendeleo.
Wabunge ni watunga sheria na wasimamizi wa Serikali. Kwa hiyo, ukiwa na Wabunge wenye ujasiri...
---
MCHANGO WA MAANDISHI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) AKICHANGIA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA AFYA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/2023 BUNGENI...
Hii nchi ukitafakari sana utajua ya kwamba tunakosa viongozi wenye maono na wazalendo kwa taifa hili na inapotokea kiongozi mzalendo na mchapakazi basi ujue nchi hii sio mahala pake.
Hakuna...
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya...
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.
Lakini...
1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa...
Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na...
Mkuu , uzi huu ni wa ushauri tu , si uzi wa Majungu , na sikutaka kukupigia kwenye ile simu yako ya Vodacom , nimeona niweke hapa ili hata Washauri wako waone , labda wanaweza kukushauri zaidi ...
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji...
Wewe mwenyewe ulishuhudia na uliona namna alivyotekeleza
👇
===
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa amesema Serikali imejenga vituo...
Mwanasiasa ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amezungumza mambo mengi katika mahojiano maalum na Dar24 na kufunguka mambo mengi ikiwemo sakata lake la kuvuliwa Uwaziri...
Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za...
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu alijitokeza kwenye kinyang'anyiro cha 2015.
Kwa kweli siyo siri kuwa huyu ndugu alikuwa na kiu kubwa ya kuitumia haki yake hiyo ya kikatiba. Basi tu wajumbe...
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kusikia mijadala inayohusu uwezo wa mwanamke katika kuongoza, ilionekana mwanaume ndiye anafaa.
Dhana hii inazidi kukosa mashiko kadiri siku zinavyokwenda kutokana...
Kinana aanza ziara ya kikazi mkoani Kagera, atoa angalizo ujenzi wa barabara inayounganisha mkua huo na Kigoma.
Makamu mwenyekiti wa ccm bara Comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.