Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tayari Chama Cha Mapinduzi kimepitisha majina ya wanachama wake watakaopigiwa kura za maoni na kamati ya wabunge wa CCM kwaajili Ubunge wa Africa mashariki (EALA). Mchakato huu tayari umegubikwa...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wana JF ,Binafsi huwa sipendi kutoa ushauri wa bure huwa naamini kile nlichosomea ili kizae matunda ni Lazima kiwe na thamani lakini kwa leo ntampa ushauri wa bure kuhusu mfuko wa Taifa...
13 Reactions
37 Replies
4K Views
Kama uzi huu Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021 unavyojionyesha, Waziri Mkuu alisema mwezi huu wa nane SGR kipande cha Dar-Moro kitaanza kazi. Je ni tarehe ngapi treni...
45 Reactions
113 Replies
11K Views
Ukiingia mji mdogo wa dumila wilayani kilosa akasimama kwa dk5 na kumuulizia shaban mnyingi,hata mtoto wa miaka7 atakupeleka kwake au nyumbani kwake. Ni maarufu sana lakini siyo kwa mema bali...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Kuna kiongozi alisema tukimkuna atatupapasa!! nilitaka nimkumbushe tu kwamba na sisi wananchi tunahitaji kupapaswa na viongozi wetu Ili na sisi tuwakune! Naona ikitokea teuzi mnapapasana wenyewe...
4 Reactions
2 Replies
486 Views
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa mara ya kwanza amejitokeza hadharani kuomba msaada wa mawazo na ushauri wa namna ya kuendesha Wizara ya Kilimo. "Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kumekuwa na miito ya kuwa tozo hizi za miamala na mabenki hazikubaliki. Kasikika Mwigulu akidai kilio wamekisikia. Wamesikika CCM nao wakidai tozo hizi ziangaliwe upya. Kwamba haya yakiendelea...
2 Reactions
14 Replies
707 Views
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amezungumzia suala la Tozo wakati akihojiwa katika kipindi cha Jahazi cha Clouds FM. Profesa Mussa...
73 Reactions
89 Replies
13K Views
  • Closed
Leo nilikuwa msibani Arusha, kilichonishangaza ni namna Freeman Mbowe alivyoishiwa mbinu na hoja na kuamua kutumia misiba, harusi kufanya siasa zake za kishamba. Mbowe Leo akiwa kanisani...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi amesema nchi yake inastahili kupata mgao wa Fedha za FIFA kwani ni haki yao. Rais Mwinyi amesema kama zinavyogawanywa fedha za mikopo kutoka Jumuiya za...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania, Rais wa JMT, amenitumia ujumbe mfupi wa maandishi, SMS kuhusu Sensa!. "Mimi Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
13 Reactions
135 Replies
11K Views
Uingereza na Tangayika zinachangia historia kwa sehemu kubwa Hatuwezi kuwaepuka Malikia elizabeth amefariki dunia ni muhimu na sisi tumuomboleze Huyu ni mtu mkubwa sana tumpe heshima yake...
1 Reactions
2 Replies
510 Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuunda kikosi kazi cha ukusanyaji wa maoni, kuhusu masuala ya siasa na kusema uwepo wake...
0 Reactions
2 Replies
585 Views
Prince Charles na mkewe Camilla, wanatarajiwa kuwasili nchini jioni ya leo kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete kwa ziara ya siku tatu nchini. Watakuwa nchini hadi Novemba 9 ambapo atatembelea...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
6 Reactions
68 Replies
7K Views
TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa...
1 Reactions
0 Replies
841 Views
Nauliza tu waungwana, ni kweli haya maharage bei yake ni sh. 3500 kwa kilo au huyu Mangi anataka kuniona mimi mbwiga?! Majibu tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
811 Views
Ni ushauri tu kutoka kwa kada mkongwe wa CCM pale CCM Mwinjuma Mwananyamala. Mgaya anasema kodi nyingi itapatikana kwenye michezo ya kamari. Mungu wa mbinguni awabariki.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tozo zinaamuliwa kwenye Baraza la mawaziri ambalo asilimia 100 ni CCM na mwenyekiti wa Baraza la mawaziri ni Raisi, Bajeti inayo pelekwa Dodoma inasomwa na Waziri wa CCM na inapitishwa na wabunge...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Back
Top Bottom