Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama mtu ana uwezo na nia ya kuongoza anayo ni vema akaendelea. Ndio sababu Nyerere alitawala miaka 24, Moi alitawala miaka 34, Museveni anakaribia 40 nk, nk. Nashauri Mbowe, Prof Lipumba ...
0 Reactions
7 Replies
688 Views
Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi. Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Modestus Lumato, Mkurugenzi Mkuu EWURA amesema haya Mwezi wa 9 kutakuwa na ahueni ya bei ya mafuta, yaani bei ya mafuta hata bila ruzuku itapungua, hatuwezi kujua yatapungua kwa shilingi ngapi...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais Samia akimsikiliza bwana Peter Sands ambaye ni mkurugenzi wa Global Fund alipozuru Ikulu ya Dar es Salaam pamoja na ujumbe wake. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwigulu ni mteule tu na si sauti ya mwisho kwenye maamuzi ya nchi hii,suala la tozo limepigiwa kelele sana na watanzania wote kwa ujumla, CCM ilikua kimya, rais Samia mpaka sasa yupo kimya...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida Kwa mawaziri kutengeneza Sheria ambazo zinawabana wananchi wakati wao wakiwa wanalamba asali. Changamoto hii anayo Sana Mwigulu Nchemba. Toka awe anapewa posti amekuwa...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii ndio habari mpya ya Dunia. Waziri Mkuu wa Uingereza Madam Liz Truss amekamilisha safu yake ya Baraza la Mawaziri huku sura za Waingereza wenye asili ya Afrika zikichomoza kwenye nafasi nyeti...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Salamu kwenu, nyote wenye kulitakia heri taifa. Yahitaji maarifa ya CUBA kuelewa kwa namna gani CCM inamudu kusimamia serikali. Hii inakuja baada ya wajumbe wakuu wa Kamati kuu kuwa ni viongozi...
1 Reactions
4 Replies
981 Views
Tanzania inaweza kuwa na Chuo cha Kivita ambacho kitakuwa kinafundisha masuala ya kivita kwa maafisa wakuu wa jeshi. Kwa sasa Tanzania inapeleka wanajeshi wake nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Upigaji wa fedha za miradi kwa sasa ni kawaida tu watu wanakula kwa urefu wa kamba zao Jengo lingine hili hapa hata mwenge wa uhuru ulitaka kuzima uliposikia gharama zake
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Kumesikika Uyui Tabora watu kutuhumiwa kula kwa urefu wa kamba zao. Waziri Mkuu kaamuru wakamatwe kisha TAKUKURU wafanye uchunguzi. Hii imekaa je ikizingatiwa hawa ni watuhumiwa tu bado? Hivi...
0 Reactions
11 Replies
900 Views
Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio...
2 Reactions
13 Replies
969 Views
Andiko hili limechochewa na habari ya kujinyonga kwa mwanajeshi William Chacha Giriago huko Dodoma, na malalamiko ya wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambayo yako kila siku, kuhusu wao kukosa...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauliza kwa nia njema kabisa, iweje Waziri anayehusika moja kwa moja na masuala ya mazingira na tabianchi asiendeke kwenye hilo kongamano na badala yake kaenda mtu wa nishati?!
18 Reactions
94 Replies
8K Views
Huyu member TumainiEl , wengi wetu wanafahamu kuhusiana na yeye kumtisha Ben Saanane, na haukupita muda Ben akapotea. Na baada ya kumwambia maneno yale “kwamba atajiukuta yuko mwenyewe na chatu”...
95 Reactions
196 Replies
23K Views
👇👇 Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. 👇👇 KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amepiga marufuku walimu kupita kila Ofisi ya Halmashauri kutafuta huduma na ameagiza wapelekewe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi. Na Kevin Lameck Tuna masikio mawili na mdomo mmoja, kwa sababu tunapaswa kusikiliza zaidi na kuzungumza kidogo. Huu ni msemo maarufu sana kwa waswahili...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Leo, makada wengi wa chama pendwa walitarajia Shaka angetoa orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi za Ubunge wa Afrika Mashariki, Lakini hakufanya hivyo. Dalili zinaonesha kuna mkwamo mahali...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani. 1. Makazi/Nyumba za walimu...
1 Reactions
3 Replies
831 Views
Back
Top Bottom