sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Huu ni uzi wenye msingi wA swali nini kinawatishia Raisi Samia Suluhu Hassani, Makamu wake na wadhibiti wa rushwa Tanzania kupigana vita ya Ufisadi?
Je, wanaogopa kufa kifo kama kilichomuua Mwendazake? Vitendo vya wizi wa mali za umma vinazid kuongezeka kila kukicha, watumishi wa umma wamegeuka michwa.
Tozo zinazolipwa na watanzania wa hali ya chini zinapigwa kama njugu. Je, nini chanzo wakuu? Kassimu Majaliwa amekuwa mtu pekee anayepinga vitendo hivyo, wale walioshirikiana na Mzee Magu kupigana vita hii sasa wako kimya.
Je, Magufuli alikuwa na wezi wa mali za umma?