What a shame, afiwe mkoloni sisi tuomboleze!

Bob Malik

Senior Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
125
Reaction score
419
Sometimes kufaninishwa na nyani kwa muafrika ni halali kulingana na mentality zetu za kitumwa.

Nasikitika sana rais kutangaza siku tano za kuomboleza kitaifa kufuatia kifo cha mkoloni.

Hii inaonesha ni jinsi gani muafrika akili yake ilivyodumavu.

"Simameni, mtazame mapito ya nyuma muone ni wapi mliteleza".
 
Sometimes kufaninishwa na nyani kwa muafrika ni halali kulingana na mentality zetu za kitumwa.

Nasikitika sana rais kutangaza siku tano za kuomboleza kitaifa kufuatia kifo cha mkoloni.

Hii inaonesha ni jinsi gani muafrika akili yake ilivyodumavu.

"Simameni, mtazame mapito ya nyuma muone ni wapi mliteleza"
Baba yako angepiga punyeto au kuvaa condom angeiepusha dunia kuwa na mtu mjinga kama wewe.

Malkia Elizabeth ndio mkuu wa Commonwealth countries ikiwemo Tanzania.

Ni kweli watu kama wewe huna tofauti na nyani, ni nyani aliyechangamka tu Kwa sababu unavaa nguo.
 
Kumer mayou, mkuu wa common wealth, yaani mkuu wa kaya ya slave master na slaves unaita muungano. Baba yako alipoteza mbegu kukuzaa wewe ni bora ungekuwa shoger tu
 
Kibibi kinachomiliki muungano wa tanganyika na zanziberi
 
Baba yako angepiga punyeto au kuvaa condom angeiepusha dunia kuwa na mtu mjinga kama wewe.

Malkia Elizabeth ndio mkuu wa Commonwealth countries ikiwemo Tanzania.

Ni kweli watu kama wewe huna tofauti na nyani, ni nyani aliyechangamka tu Kwa sababu unavaa nguo.
Mjinger bibie yako
 
Tumekuwa waungwana tu, japo wao hawakuomboleza nasi wakati wa kifo cha JPM

Uganda[102] declared fourteen days of national mourning; Rwanda[103] announced nine days of mourning; Kenya[104] and Burundi[105] announced seven days of mourning; Mozambique[106] announced five days of mourning; Democratic Republic of the Congo,[107] South Sudan[108] declared three days of mourning; Cuba[109] and Zambia[110][111] declared one day of mourning.

Anyway, ni utamaduni wetu wa kiafrika kulia misiba kwa pamoja, hata kama wao huwakulia kwenye misiba yetu.
 
It's not a shame, huyo malkia alikuwa ni bosi wetu, kila siku tunaenda kuwaomba mikopo na misaada, sisi bado ni watumwa kwao.

Baada ya kupata uhuru toka kwa hao jamaa, sasa wanatutawala kiuchumi, hatuna ubavu wa kuwaletea ujuaji.
 
Baba yako angepiga punyeto au kuvaa condom angeiepusha dunia kuwa na mtu mjinga kama wewe.

Malkia Elizabeth ndio mkuu wa Commonwealth countries ikiwemo Tanzania.

Ni kweli watu kama wewe huna tofauti na nyani, ni nyani aliyechangamka tu Kwa sababu unavaa nguo.
Umemjibu vema mkuu ingawa umetumia maneno makali but I don't blame you muda mwingine hawa dot.com wanatakiwa wajibiwe hivyo, wanajitutumua mitandaoni wakati hadi leo hata budget yetu ya ndani hatuwezi kujitegemea, na hakuna watu wabaguzi kama sisi wenyewe, na mbaya zaidi watanzania, sisi wenyewe ni wanafiki na tuna ubaguzi mkubwa sana,PM wa UK ni mzungu na amateur 3 people's of colour kuwa senior cabinet members.
 
hata mimi nimeshangaa hii mitoto inayolala kwa baba zao inapenda kutusumbua sana
 
Sometimes kufaninishwa na nyani kwa muafrika ni halali kulingana na mentality zetu za kitumwa.

Nasikitika sana rais kutangaza siku tano za kuomboleza kitaifa kufuatia kifo cha mkoloni.

Hii inaonesha ni jinsi gani muafrika akili yake ilivyodumavu.

"Simameni, mtazame mapito ya nyuma muone ni wapi mliteleza"
Hilo ni takwa lq Commonwealth unless ujitoe..

Mbona hata Rais wa jirani akifa huwa mnaomboleza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom