Hii imekaaje, utasikia nchi za Afrika eti zilipigania na kupata Uhuru, sasa kama ni kweli ina maana aliyekutawala alikuwa adui, sasa iweje kifo chake kiwe maombolezo kwenu?
Afrika ni takataka na...
Kwenye himaya ya walamba asali uongo uongo ndiyo kwao. Mambo nyeti hufanyiwa siasa.
Alisema Samia watuhumiwa waache kukamatwa bila upelelezi kuwa umekamilika. Hizo kumbe zilikuwa hekaya za...
Kwa kuwa Idadi kubwa ya Watanzania tumeamua kuwa wajinga basi tujiandae kutafunwa na ujinga wetu mpaka siku tunazikwa.
Watanzania tulio wengi tumekubali kupangiwa lila kitu na kikundi cha watu...
waziri wa fedha anaenda kwenye media anasema wananchi wanekubali tozo za miamala hata aibu haoni kusema uongo hivi kama wananchi wamekubali kwanini aende kwenye media na kutetea tozo hizo baada...
Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki
Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi...
Mfalme charles anaapishwa anajifanyia kilakitu mwenyewe kusogeza kalamu, kusogeza kiti, kusogeza kitabu, yani hakuna hata mtu wa kumsaidia alafu wageni waalikwa wote wamesimama wima hakuna kiti...
Swali: Waziri Makamba Viongozi na Wanasiasa huja na kupita lakin Nchi inabaki, Je ungependa kuacha legacy gani baada ya kumaliza utumishi wako?
Swali hilo limeulizwa na mwakilishi wa Patrice...
1. Ana ruhusa ya kuidhinisha vita (maelfu ya watu wafe).
2. Ana ruhusa ya kuua RASMI kila baada ya muda fulani.
3. Ana ruhusa ya kulindwa maisha yake yote (hubadilika kikatiba kutegemeana na...
Kwasababu leo ni kilele cha siku ya mapinduzi na mimi kama kijana wa bara nayetamaani kujua mambo, basi naomba kuwauliza; hivi kulikuwa na sababu ya msingi ya mapinduzi ya Zanzibar au ni uzalendo...
Afisa Elimu wa mkoa wa Lindi mh Vicent Kayombo amesema zaidi ya Wanafunzi 24000 wa Shule za Msingi wanakaa chini darasani kutokana na ukosefu wa Madawati
Source ITV habari
Hii ni wiki ya baraka kwa jimbo la Kawe, pamoja na hitilafu ya kumkosa Pascal Mayalla mule EALA.
Angela Kizigha atagombea EALA.
Halima Mdee ataongoza LAAC bungeni.
Mungu amrehemu Magufuli.
Haiwezekani kiongozi wa serikali awe msemaji wa anao waongoza.
Lini sisi wana Mbeya tumewahi kuketi na wewe tukakuambia kuwa hatuna malalamiko na maumivu ya tozo??
"Waliyopo hapa Mbeya,hili...
Gharama ya Kuwapigania watu ni uhai na kati ya wanadamu hakuna mwenye malipo yake zaidi ya muumba wa mbingu na ardhi.
Wewe kuwa hai Leo kibinadamu ni muujiza mkubwa sana. Watawala hawawezi...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mtukufu Juma Homela, amedai kwamba Kwenye Mkoa huo hakujawahi kuwa na wala hata sasa hakuna MALALAMIKO YOYOTE KUHUSU TOZO.
Amedai kwamba watu wa Mkoa huo hawana shida...
UVCCM TAIFA
SEPT, 10, 2022
DAR ES SALAAM
PICHA NA MATUKIO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akizungumza na Rais wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UN International...
Tundu Lissu amesema tusubiri 2025 ifike ndio tutamsikia akizungumzia Habari za yeye kugombea Urais ama la
Alipobanwa zaidi na Salim Kikeke wa BBC Tundu Lissu akasema endapo chama chake cha...
Nawashukuru sana
Ile Tanzania nilioiota KWA muda mrefu inaenda kutimia,kuanza KWA mchakato wa katiba mpya ni Nuru KUBWA kwetu!changamoto za kimfumo zinaenda kufa na Tanzania Mpya inaenda zaliwa...
Juzi nilikuwa nafuatilia mjadala wa demokrasia ndani ya Al Jazeera, majina kadha wa kadha ya miamba ya upinzani yalikuwa yanatajwa cha ajabu hamna hata mara moja jina la Mbowe lilitajwa hata kwa...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimewapitisha wanachama nane kuwania Ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA) utakaofanyika Septemba 22, mwaka huu.
Akitangaza majina ya makada wa CCM waliopitishwa na...
Heshima sana wanajamvi,
Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Rwanda ni nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.