Ndugu zangu, Nchi yoyote yenye Wabunge Majasiri na wanaojitambua haiwezi kukosa maendeleo.
Wabunge ni watunga sheria na wasimamizi wa Serikali. Kwa hiyo, ukiwa na Wabunge wenye ujasiri, wanaojitambua na wanaowajibika kwa maslahi mapana ya Taifa, hakika Nchi itapata maendeleo makubwa sana.
Mwaka 2025 tunahitaji Wabunge kama Mh. Mpina. Mpina amekuwa akihoji mambo mbalimbali kuhusu utendaji legevu wa baadhi ya viongozi wa Serikali. Mbaya zaidi hata Wabunge wengine kumuunga mkono kwa kupiga tu makofi wanaogopa.
Wabunge wetu amkeni, timizeni wajibu wenu ipasavyo. Mnaogopa nini?
Kweli Mbunge unaogopa hata kupiga makofi ili kuunga mkono hoja za msingi? Kweli?