Kagera: Chalamila uso kwa uso na Kinana, apewa angalizo kusuasua kwa barabara ya Kagera - Kigoma

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
4,980
4,076
IMG-20220903-WA0009.jpg

Kinana aanza ziara ya kikazi mkoani Kagera, atoa angalizo ujenzi wa barabara inayounganisha mkua huo na Kigoma.

Makamu mwenyekiti wa ccm bara Comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera.

Akizungumza mjini Biharamulo mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya siku mbili mkoani Kagera akitokea Kigoma Kinana amesema kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ya Kasulu- Nyakanazi si ya kuridhisha.

“Nimeona kazi inayoendelea ya ujenzi kuna wakandarasi watano na Mungu akipenda itakamilika lakini kuna kuchelewa chelewa kidogo kwahiyo naomba viongozi wa Kagera, Kigoma na wizara ya ujenzi kuwasimamia,” alisema.
IMG-20220903-WA0013.jpg

Akizungumzia baada ya Kinana kuwasili mkoa wa Kagera, Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa Costancia Muhiye amesema viongozi wa ngazi mbalimbali wa Wilaya,Mkkoa pamoja na wananchi wamejitokeza kwa wingi kumpokea Makamu Mwenyekiti.

Muheye ametumia nafasi hiyo kueleza kuwa wananchi wa Mkoa wa Kagera wanampongeza Kinana kwa kuteuliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kumteua nafasi hiyo."Makamu Mwenyekiti wewe ni mwenzetu, unakijua chama chetu vizuri, tunamshukuru Mwenyekiti wetu kwa kujiamini na kukuteua kwenye nafasi hiyo.
IMG-20220903-WA0196.jpg

"Wananchi wa mkoa wa Kagera tunakumbuka ukiwa Katibu Mkuu wa chama chetu ulikuja kwetu na tukaa na wewe,tulipita kila mahali, hivyo tunakukaribisha," amesema Mwenyekiti huyo wa Mkoa wa Kagera.
IMG-20220903-WA0004.jpg

Kinana ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka pamoja na maofisa wengine wa Chama hicho
 
Kusimamia kazi, na kupeleka fedha za mradi kwa wakati ni mambo mawili tofauti ,pelekeni fedha kwa wakati ili mjue kwanini Chalamila ni RC makini
 
View attachment 2344249
KINANA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA, ATOA ANGALIZO UJENZI WA BARABARA INAYOUNGANISHA MKOA HUO NA KIGOMA.

Makamu mwenyekiti wa ccm bara comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera.

Akizungumza mjini Biharamulo mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya siku mbili mkoani Kagera akitokea Kigoma Kinana amesema kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ya Kasulu- Nyakanazi si ya kuridhisha.

“ Nimeona kazi inayoendelea ya ujenzi kuna wakandarasi watano na Mungu akipenda itakamilika lakini kuna kuchelewa chelewa kidogo kwahiyo naomba viongozi wa Kagera, Kigoma na wizara ya ujenzi kuwasimamia” alisema.
View attachment 2344259
Akizungumzia baada ya Kinana kuwasili Mkoa wa Kagera, Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa Costancia Muhiye amesema viongozi wa ngazi mbalimbali wa Wilaya,Mkkoa pamoja na wananchi wamejitokeza kwa wingi kumpokea Makamu Mwenyekiti.

Muheye ametumia nafasi hiyo kueleza kuwa wananchi wa Mkoa wa Kagera wanampongeza Kinana kwa kuteuliwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kumteua nafasi hiyo."Makamu Mwenyekiti wewe ni mwenzetu, unakijua Chama chetu vizuri, tunamshukuru Mwenyekiti wetu kwa kujiamini na kukuteua kwenye nafasi hiyo.
View attachment 2344262
"Wananchi wa Mkoa wa Kagera tunakumbuka ukiwa Katibu Mkuu wa Chama chetu ulikuja kwetu na tukaa na wewe,tulipita kila mahali, hivyo tunakukaribisha,"amesema Mwenyekiti huyo wa Mkoa wa Kagera.
View attachment 2344251
Kinana ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka pamoja na maofisa wengine wa Chama hicho
 
Unahangaika Sana wewe Jamal,
 
Kwa hiyo Chalamila ndio Waziri wa Ujenzi siku hizi au?

Upuuzi mtupu.
 
Jibu swali,Mkuu wa Mkoa ndio ana fungu la kugharamia Ujenzi wa Barabara?

Ni Waziri au Katibu Mkuu huyo? Au ni kiki zisizo na msingi kwa sababu tuu humpendi mtu?
Chalamila so far ni mgeni huko, amepewa anagalizo ku -whistle blow kuhusu hiyo barabara,

Am very naona kama hujanielewa,
 
..uliza kwanini Kinana alikimbia kugombes ubunge wa arusha mjini mwaka 1995.

..aliamua kuchuchumaa maana ufisadi wake ungekuwa sehemu ya kampeni za wapinzani wake.

..mwaka 1995 Makongoro Nyerere alishinda ubunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Nccr mageuzi.

Mzee Kinana ni hazina kubwa kwa Taifa hili kubali kataa
 
Back
Top Bottom