Acha wanasiasa wafaidike na tozo, maana siasa za Tanzania zinahusisha fitina, uzandiki, ngono na ulozi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.

Lakini...

1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.

2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k waliuawa kwasabb zinazodhaniwa kuwa ni za kisiasa.

3. Kwa wanawake ili kupata viti maalum lazima ugawe "kitu" maalum. Ulishawahi kuona viti maalum wenye sura za baba zao?

4. Inabidi usaliti nafsi yako kwa kile unachokiamini.

Mifano:
* Magufuli akiwa waziri wakati wa awamu ya 4 alimsifia Kikwete kwa kusafiri Sana nje ya nchi kumbe alikuwa hapendi.

* Samia, Gwajima na Ummy walihubiri kujifukiza kumbe walikuwa wanaamini ktk chanjo.

* Ndalichako, na mama Salma walimpongeza Magufuli kwakukataa kuwasomesha watoto waliopata ujauzito lkn kumbe hawapendi.

Nikiyafikiria maudhi haya na makufuru haya ya wanasiasa naona wote jehanamu inawahusu. Acha tu wafaidi tozo zetu lkn watapata taabu Sana siku ya mwisho.
 
Wanasiasa wetu kwa ulozi tu hapo sibishi,

Wanapenda ushirikina sana, kuna wengine wazazi wao ni waganga wa kienyeji maarufu kwanini mtu akose nafasi nzuri nzuri serikalini??
 
Waganga wa bongo wamechoka na maisha wakati wananidai wana uwezo wa kumpa mtu utajiri. Kwanini wao wasiwape watoto wao?
 
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.

Lakini...

1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.

2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k waliuawa kwasabb zinazodhaniwa kuwa ni za kisiasa.

3. Kwa wanawake ili kupata viti maalum lazima ugawe "kitu" maalum. Ulishawahi kuona viti maalum wenye sura za baba zao?

4. Inabidi usaliti nafsi yako kwa kile unachokiamini.

Mifano:
*Magufuli akiwa waziri wakati wa awamu ya 4 alimsifia Kikwete kwa kusafiri Sana nje ya nchi kumbe alikuwa hapendi.

*Samia, Gwajima na Ummy walihubiri kujifukiza kumbe walikuwa wanaamini ktk chanjo.

*Ndalichako, na mama Salma walimpongeza Magufuli kwakukataa kuwasomesha watoto waliopata ujauzito lkn kumbe hawapendi.

Nikiyafikiria maudhi haya na makufuru haya ya wanasiasa naona wote jehanamu inawahusu. Acha tu wafaidi tozo zetu lkn watapata taabu Sana siku ya mwisho.
Unamuona mtu anaendesha gari la mil 200 unameza mate lakini hujui kaipataje.
 
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.

Lakini...

1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.

2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k waliuawa kwasabb zinazodhaniwa kuwa ni za kisiasa.

3. Kwa wanawake ili kupata viti maalum lazima ugawe "kitu" maalum. Ulishawahi kuona viti maalum wenye sura za baba zao?

4. Inabidi usaliti nafsi yako kwa kile unachokiamini.

Mifano:
* Magufuli akiwa waziri wakati wa awamu ya 4 alimsifia Kikwete kwa kusafiri Sana nje ya nchi kumbe alikuwa hapendi.

* Samia, Gwajima na Ummy walihubiri kujifukiza kumbe walikuwa wanaamini ktk chanjo.

* Ndalichako, na mama Salma walimpongeza Magufuli kwakukataa kuwasomesha watoto waliopata ujauzito lkn kumbe hawapendi.

Nikiyafikiria maudhi haya na makufuru haya ya wanasiasa naona wote jehanamu inawahusu. Acha tu wafaidi tozo zetu lkn watapata taabu Sana siku ya mwisho.
Umeisahau na hii
5. Uwe tayari kutolewa roho yako mwenyewe.

Pigia mstari
 
Vituo vya afya vinajengwa kwenye nyumba za wanasiasa? Miradi ya maji na barabara?

Mikopo hii hapa wanapewa watoto wa wanasiasa? 👇
 
Attachments

  • 20220903_205115.jpg
    20220903_205115.jpg
    80.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220910-081150.png
    Screenshot_20220910-081150.png
    103 KB · Views: 2
Kama kuna mtu anaona wanasiasa wanafaidi naye aingie kwenye kinyang'anyiro cha udiwani, ubunge ama urais.

Lakini...

1. Uwe tayari kufanya ulozi na makafara. Mfano mzee wa nje ya box na mzee wa mama Amina.

2. Uwe tayari kutoa roho ya mtu. Kuna wanasiasa Alphonce Mawazo, Dr. Mvungi, n.k waliuawa kwasabb zinazodhaniwa kuwa ni za kisiasa.

3. Kwa wanawake ili kupata viti maalum lazima ugawe "kitu" maalum. Ulishawahi kuona viti maalum wenye sura za baba zao?

4. Inabidi usaliti nafsi yako kwa kile unachokiamini.

Mifano:
* Magufuli akiwa waziri wakati wa awamu ya 4 alimsifia Kikwete kwa kusafiri Sana nje ya nchi kumbe alikuwa hapendi.

* Samia, Gwajima na Ummy walihubiri kujifukiza kumbe walikuwa wanaamini ktk chanjo.

* Ndalichako, na mama Salma walimpongeza Magufuli kwakukataa kuwasomesha watoto waliopata ujauzito lkn kumbe hawapendi.

Nikiyafikiria maudhi haya na makufuru haya ya wanasiasa naona wote jehanamu inawahusu. Acha tu wafaidi tozo zetu lkn watapata taabu Sana siku ya mwisho.
Vituo vya afya vinajengwa kwenye nyumba za wanasiasa? Miradi ya maji na barabara?

Mikopo hii hapa wanapewa watoto wa wanasiasa? 👇
 
Wanasiasa wetu kwa ulozi tu hapo sibishi,

Wanapenda ushirikina sana, kuna wengine wazazi wao ni waganga wa kienyeji maarufu kwanini mtu akose nafasi nzuri nzuri serikalini??
Lakini kitu kimoja ni dhahiri huwa hawapati peace of mind hata akiwa na pesa nyingi za ajabu !! Mungu ni Fundi Sana !!
 
Back
Top Bottom