Mzee Kikwete atoa maoni Kwenye Kikosi Kazi cha Prof Mkandala

Huyu mzee atulie tu ,alishindwa yeye kutupa katiba, akatumia pesa kibao za watz, akahalibu mwenyewe mchakato kipindi Cha mwishoni kabisa

Kasababisha warioba kupigwa Makofi na makonda

Atuache tu, vidonda havijapona
Ndio nashangaa
 
Malizia kabisa ni huyu huyu aliemteua makonda kipindi cha lala salamaa.

Sent from my SM-A037G using JamiiForums mobile app
 
Huyu mzee atulie tu ,alishindwa yeye kutupa katiba, akatumia pesa kibao za watz, akahalibu mwenyewe mchakato kipindi Cha mwishoni kabisa

Kasababisha warioba kupigwa Makofi na makonda

Atuache tu, vidonda havijapona
Ana haki ya kutoa maoni, otherwise watz hatujui tunachopigania.
 
Mwache Mzee,, sasa hivi hata hueleweki unataka nini, tulimtukana sana huyu Mzee Mungu akatuletea chizi.

Nataka nijue maoni yake Mzee wa Busara huyu.
TOZO na vibanda vya mlinzi ndio tunahitaji watanzania? 😂

Kwaiyo mwanachadema mwenzetu huyu mkuu?
 
Tozo tunaifanya ajenda, Lissu nae yuko njiani
stylin.gif
 
Back
Top Bottom