Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SILIPWI NA UBELGIJI, MIMI SIO MFUNGWA WA KISIASA - LISSU. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Antipas Mugway Lissu amesema halipwi na Serikali ya Ubelgiji wala Shirika la Wakimbizi kwa kuwa...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Bodi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeridhia Mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 1.046 (Takriban Tsh. 2,422,536,000,000) kwa Tanzania katika kipindi cha miezi 40 kusaidia kukabiliana na athari...
10 Reactions
184 Replies
14K Views
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa. Mhe. Amos Makala ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es salaam. Huu Mkoa ni kitovu cha...
10 Reactions
43 Replies
5K Views
Ukweli bora usemwe tu. Kwa hulka za wanaccm za kukosa uzalendo na nia njema za kulitumikia taifa kwa maendeleo ya Taifa sidhani kama wangekuwa wanamheshimu Mwenyekiti wao. Yaani ni hivi bila ya...
2 Reactions
9 Replies
893 Views
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita...
54 Reactions
61 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo. Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha. Hayo...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Huyu ndiye SACP Engelbert Kiondo - Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Hebu tumsikilize... Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba huyu ni afande katika Jeshi la Polisi Tanzania au wenzangu...
21 Reactions
74 Replies
13K Views
Kamatiya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wameanzisha oparesheni maalumu ya kuondoa zaidi ya mifugo 200,000 iliyovamia eneo la ardhi...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Mbunge wa Viti Maalum Jaquelin Msongozi (CCM) amependekeza sheria ya Tanzania kuhalalisha bangi itumike kama Tumbaku. Msongozi ametoa kauli hiyo leo Septemba 14, 2022 bungeni wakati akichangia...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Wapo watakaosema tunamuonea wivu, n.k! Lakini huo ndio ukweli! Mwigulu Nchemba kupewa Wizara ya Fedha kwake ni kama kumvisha mtoto wa chekechea kiatu namba 45 cha mtu mzima. Huyu Mwigulu aliwahi...
8 Reactions
69 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo...
5 Reactions
72 Replies
9K Views
Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022...
7 Reactions
24 Replies
4K Views
Na Mwandishi Wetu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewahamasisha viongozi wa Chama hicho kwa ngazi mbalimbali kujenga utamaduni wa kuwatembelea...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT, bila shaka mnaendelea kuchapa Kazi.. Kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari, Bandari ya Mombasa imetoa Ofa kabambe na kedekede Kwa Mizigo ya Congo DRC kupitia...
16 Reactions
101 Replies
10K Views
Katika mgawanyo wa majukumu; Bashe kazi yake ni kuhakikisha uwepo wa pembejeo za kilimo na kuboresha mazingira ya kilimo kwa wakulima. Waziri wa kilimo aslaumiwe kwa ongezeko la bei. Alaumiwe...
0 Reactions
8 Replies
752 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi tarehe 15 Septemba, amejumuika na viongozi mbalimbali wa Afrika...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam. Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe. Haya...
6 Reactions
68 Replies
4K Views
Back
Top Bottom