BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,374
- 8,108
Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu.
Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo linarudishwa Serikalini ili kushughulikiwa kwa utaratibu wa kawaida lakini kwa namna suala hilo lilivyoathiri maisha ya watu, Bunge linaitaka Serikali kushughulikia suala hilo kwa haraka.
Aidha amemuagiza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene kulibeba jambo hilo kwa uzito na kulishughulikia kwa hatua ambazo Bunge linazitarajia.