Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh Freeman Mbowe ametutaka Watanzania tuache uwoga halafu yeye na Chama chake wanasusia Uchaguzi kwa kumuogopa Zitto kabwe na ACT wazalendo Wanasiasa wa Chadema ni Watu wa ajabu sana
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitumia mbinu za kishushu kupambana na uhalifu wa kila namna. Alikuwa akitoa siku saba majambazi kusalimisha silaha na walisalimisha. Kura za siri zilitumika...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ndugu wadau. Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi. Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
TAIFA LINAPOMKOSEA MUNGU. Leo 12:15 hrs 17/09/2022...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Hao vijana Wana nguvu za kutosha zilizokosa mpenyo ndio maana wanatusumbua mtaani! Nchi yetu ina ardhi ya kutosha sana ya kuendesha kilimo na ufugaji,kamata vijana Hawa peleka jkt wakalijenge...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Rais Wangu Samia nisikilize, umetegewa mtego, wanasubiri uuingie. Wasalaam mama kipenzi Cha watanzania, Natambua nitapokea matusi, kejeli na dhihaka nyingi kutoka Kwa makundi yaliyoandaliwa na...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima...
2 Reactions
3 Replies
873 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanza nikupe Hongera ya kuendelea kuaminiwa kuendelea kuwa RC wa DSM, Ni heshima kubwa kwako kwa kuwa Mkuu wa mkoa wa jiji la kwanza kiuchumi na kibiashara...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mbunge wa Kawe mh Gwajima amesema maneno matupu ya RC Makalla hayatamaliza tatizo la Panyaroad Gwajima amesema Wananchi wanaitaka kuona Panyaroad wanadhibitiwa na siyo kusikia maelezo ya mkuu wa...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Ulitaka kuielewa nguvu ya CCM ( Chama Dola) jaribu kuangalia Mfumo wa Kifalme unavyofanya Kazi Uingereza na nje ya UK Nyerere aliiga/alirithi mambo mengi kutoka kwa Malkia Elizabeth baada ya...
0 Reactions
3 Replies
633 Views
1. Binadamu wote ni Sawa kila mtu ana Haki ya kutambuliwa na kuheshimiwa utu wake 2. Rushwa ni Adui wa Haki Sitatoa wala kupokea rushwa 3. Ujamaa na Kujitegemea ndio njia pekee ya kujenga...
1 Reactions
5 Replies
551 Views
Habarini! Tusameheane kwa michango yetu inayotofautiana katika mada zingine, lakini sina jinsi lazima niendelee kuwepo jf....nalipenda mno hili jukwaa! Kwenye hoja; Ni huyu mngazaji wa star TV...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Wala hakuna shida yoyote, ni kutaka tu kujua Mzazi wa kiongozi wetu, aliyezaa Kiongozi mwema na mwenye maono namna hii ni yupi. Nafahamu kwamba Oman wako wajomba zake , na zipo taarifa zao hapa...
44 Reactions
204 Replies
16K Views
Bandugu bapenzi, Yule mwanasiasa mahiri na machachari katika upinzani wa kwanza kwanza yuko hai na kama yu hai yuko wapi kwa sasa na anajishughulisha na kitu gani? Maana wakati ule alikuwa...
1 Reactions
108 Replies
17K Views
Wananchi jijini Arusha pamoja na abiria wanaotumia stand kubwa ya mabasi wamailalamikia uongozi wa jiji la Arusha kuwa wameshindwa kuwaletea mabadiliko kwa kuwajengea stand nyingine mpya ya kisasa...
12 Reactions
110 Replies
13K Views
Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom