Mbunge wa Viti Maalumu ang'ang'ania Bangi ihalalishwe

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Mbunge wa Viti Maalum Jaquelin Msongozi (CCM) amependekeza sheria ya Tanzania kuhalalisha bangi itumike kama Tumbaku.

Msongozi ametoa kauli hiyo leo Septemba 14, 2022 bungeni wakati akichangia muswada wa sheria ya Mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 2 wa mwaka 2022.

Hata hivyo si mara ya kwanza hoja hiyo kutolewa bungeni kwani ilishawahi kutolewa na wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini) na mbunge wa zamani wa Nkasi Kaskazini Ali Keisy.

Akichangia leo kwenye marekebisho ya sheria ya dawa za kulevya, mbunge huyo amesema Kuna Mataifa ambayo yaliruhusu bangi kwa faida yao na sasa wanaingiza Kodi.

"Tuige mfano wa Nchi kama Jamaica na Malawi, wenyewe wameruhusu bangi na sasa hakuna shida kwao, tuifanye ikubarike na kama Kuna shida tuandike tahadhari kama ilivyo kwa sigara,” amesema.

Mbunge huyo ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria amesema ikifanyika hivyo hata nchi inaweza kupata mapato.

Akijibu hoja hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk Eliezer Feleshi amesema bado hakuna sheria ya kuruhusu bangi hasa kwenye biashara isipokuwa kuna sheria inaruhusu kama bangi inahitajika kwa kazi maalumu.
 
Sasa hicho kipengele Cha hiyo kazi maalum ndiyo mitihani hapo!!!
 
Yuko sahihi na tumewahi jadili mara nyingi Sana.
 
Ukiona polisi wanachoma au wanaharibu mashamba ya bangi basi jua kabisa kuna mamilioni ya shilingi yanachomwa au kuharibiwa.

Bangi kwanza sio bidhaa adimu yapo imepigwa marufuku. Kila mtaa na kila kona ya hii nchi bangi inauzwa na kuvutwa hadharani kama vile ni jambo lililohalalishwa.
Kwa maoni yangu acha watu walime bangi na pia watu waache wavute bangi ila kuwe na elimu ya jinsi ya kuitunia. Maana nadhani ukiitumia kidogo ni nzuri. Iuzwe kwenye vipimbo maalum vya gram kuanzia 15-25. Na mtu kwa siku avute gram 75 tu.
Legalize it, Marijuana......by Peter Tosh
 
Serikali ya CCM ikihalalisha matumizi ya bangi pamoja na kilimo chake itakuwa imefanya jambo la maana sana
 
Mbunge wa Viti Maalum Jaquelin Msongozi (CCM) amependekeza sheria ya Tanzania kuhalalisha bangi itumike kama Tumbaku.

Msongozi ametoa kauli hiyo leo Septemba 14, 2022 bungeni wakati akichangia muswada wa sheria ya Mabadiliko ya sheria mbalimbali namba 2 wa mwaka 2022.

Hata hivyo si mara ya kwanza hoja hiyo kutolewa bungeni kwani ilishawahi kutolewa na wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini) na mbunge wa zamani wa Nkasi Kaskazini Ali Keisy.

Akichangia leo kwenye marekebisho ya sheria ya dawa za kulevya, mbunge huyo amesema Kuna Mataifa ambayo yaliruhusu bangi kwa faida yao na sasa wanaingiza Kodi.

"Tuige mfano wa Nchi kama Jamaica na Malawi, wenyewe wameruhusu bangi na sasa hakuna shida kwao, tuifanye ikubarike na kama Kuna shida tuandike tahadhari kama ilivyo kwa sigara,” amesema.

Mbunge huyo ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria amesema ikifanyika hivyo hata nchi inaweza kupata mapato.

Akijibu hoja hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk Eliezer Feleshi amesema bado hakuna sheria ya kuruhusu bangi hasa kwenye biashara isipokuwa kuna sheria inaruhusu kama bangi inahitajika kwa kazi maalumu.
Badala ya kulilia tozo bado wana leta ajenda mfu
 
Wasiirasimishe ili tuendelee kuenjoy kwanza.. Watafanya ipande bei bure wakati saa hizi ukiitaka unaipata tu kwa bei chee..
Askari hawana muda na smokers, labda smokers wanaofanya uhalifu mwingine kama udokozi na mambo ya kijinga.
 
Wakiruhusu Bangi na Mengine yasiyo rasmishwa ambayo hayana madhara waruhusu pia.
 
Tunashindwa kuwaza mambo muhimu ya maendeleo mf. Elimu,afya,viwanda nk. Wabunge mnang'ang'ana na bangi kilasiku!! Esiholi!!
Ndomans sijui hata kama wabunge wanavikao maana nipumba tuu wanachezea kodi zetu
Kuna nchi wanaexport bang North America wanapata Pesa nyingi sana,acha uzwazwa tumia akili
 
.Hata hivyo si mara ya kwanza hoja hiyo kutolewa bungeni kwani ilishawahi kutolewa na wabunge Jumanne Kishimba (Kahama), Joseph Msukuma (Geita Vijijini) na mbunge wa zamani wa Nkasi Kaskazini Ali Keisy.

Akichangia leo kwenye marekebisho ya sheria ya dawa za kulevya, mbunge huyo amesema Kuna Mataifa ambayo yaliruhusu bangi kwa faida yao na sasa wanaingiza Kodi.

"Tuige mfano wa Nchi kama Jamaica na Malawi, wenyewe wameruhusu bangi na sasa hakuna shida kwao, tuifanye ikubarike na kama Kuna shida tuandike tahadhari kama ilivyo kwa sigara,” amesema.

Mbunge huyo ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria amesema ikifanyika hivyo hata nchi inaweza kupata mapato.
Naunga mkono hoja, tena sio tuu tu legalize marijuana, especially medical marijuana and production of CBD as the best pain killers, tranquilizers, anti imflamantory medicines with the minimum side effects, bali pia nashauri turuhusu na ile the oldest profession, ndio ajira inayoongoza kuajiri watu wengi duniani, kuliko ajira nyingine yoyote! Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!
P
 
Tunashindwa kuwaza mambo muhimu ya maendeleo mf. Elimu,afya,viwanda nk. Wabunge mnang'ang'ana na bangi kilasiku!! Esiholi!!
Ndomans sijui hata kama wabunge wanavikao maana nipumba tuu wanachezea kodi zetu
Sasa Mkuu hapo walikuwa wanajadili mabadiliko ya Sheria ya madawa ya kulevya ndio akatoa hoja yake. Wewe ulitaka azungumzie maji na Elimu kwenye jambo la madawa ya kulevya. Ujuaji mwingi huna lolote inalojua mpuuzi tu
 
Naunga mkono hoja, tena sio tuu tu legalize marijuana, especially medical marijuana and production of CBD as the best pain killers, tranquilizers, anti imflamantory medicines with the minimum side effects, bali pia nashauri turuhusu na ile the oldest profession, ndio ajira inayoongoza kuajiri watu wengi duniani, kuliko ajira nyingine yoyote! Opinion: Its High Time, Tanzania Tuhalalishe "The Oldest Profession?!", na Ikiwezekana, to Legalize Marijuana!
P
Sijawahi kusikia mbunge toka chadema akitaka bangi ihalalishwe, wanachadema hawavuti bangi?
 
Hili suala linajengwa, lilianza pale Hayati walivyoanza kufyeka mashamba... A pre-requsite to big money Investment Nina uhakika wapo watu wanaweza kuwa wamenza kiaina, tatizo linakuja kuwa ulimaji holela. Na ni wengi waliohaidiwa kuwa mabilionea....wanapigania.

Tuna madawa hatari kuliko hata bangi....mfano mzuri ni tarime. Wangapi walikufa na saratani maeneo hayo wakati wakisikika kuwa ni walimaji/wavutaji?
Kaja ACCACIA sasa saratani hiyo- kwa sababu za kemikali na madawa hatari.

Amini usiamini, kuna kipindi karibu niwaandikie kikosi kazi, wafanye storage za mbegu zote zilizopatikana katika sakasaka zao. Kuna treasure pale....mbegu ambazo hazijabadilishwa(genetics/modified). Tuna mbegu nzuri Karibu na Malawi. Vile vile kwa wale ambao wamelima miaka nenda rudi ndio wapewe kipaumbele(uzalendo) ni Wakulima wawezeshwe badala ya kuanza kutudanganya na kilimo kipya, ati waje wawekezaji. Tutaharibu.

Amani.
I second
 
Back
Top Bottom