Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi
Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi...
Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi.
Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha...
Tanzania hakuna upinzani tuna watu na maslah yao tu?
Mbowe ni mpinzani?Hapana
Zitto ni mpinzani?Hapana
Hawa wote wana maslahi ndani ya ccm uhusiano wa mbowe na ccm una mizizi mingi miradi...
Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya...
Serikali imetangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Surua katika baadhi ya maeneo baada ya uchunguzi kufanyika na kubaini wagonjwa 54 lakini hakuna taarifa ya kifo.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400...
Na Rais Samia Suluhu Hassan
Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka...
Rais wetu wa Tanzania nakuomba uwaangalie hawa mawaziri kama wana nia na matarajio yako ya mbeleni au wana yao na wanajipanga kivyao maana wao kwania zao sioni wakikusaidia kwa dhati kutoka kwenye...
Bungeni Dodoma
Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022)...
Mwigulu, nape na Makamba ni mawaziri mizigo kwa nchi yetu wanapaswa kuondolewa haraka sana
Wewe mwigulu ni wa kutujazia matozo kila mahali kweli??Mwigulu ni wewe wa kuitumbukiza hii nchi shimoni...
Juzi kati nilipita maeneo ya kawe nikashuhudia majengo ya maghorofa yakiwa magofu yakionyesha hali ya kutelekezwa, kuulizia nikaambiwa ni majengo ya NHC.
Hivi ni kwa nini pesa za umma zitumike...
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudumisha diplomasiano na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya pia Rais Samia Suluhu amezungumza na Rais Mteule wa Kenya, William Ruto na wameafiki kukuza...
Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro...
Tangu JPM alipongia madarakani kuna mambo mengi sana yasiyofaa yamefanyika in the name of uzalendo.
Mauzauza yote waliyofanyiwa wenye pesa yalipewa baraka za in the name ofa uzalendo.
Mishahara...
Wengi wanaamini Utawala wa nchi Jirani utakuwa kama ule wa Mwamba wa East Africa Shujaa Magufuli lakini siyo.
Serikali ya Wanyonge ya Shujaa Magufuli ni tofauti kabisa na hii bottom up ya Dr...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr Philip Isdor Mpango ameweka jiwe la msingi Mradi wa chanzo cha Maji Butimba Ujenzi wenye kiasi cha Shilling Bilion 69.3.
Katika...
Walikuwa wanakuja na Jiwe kubwa waliloliita " Fatuma" na walitumia kubomolea mlango wa mbele
Tofauti yao na Panyaroad ni Hiyo Fatuma tu mengine yote wanafanana
Mungu wa mbinguni atulinde!
Spika Tulia ameiagiza serikali kuleta taarifa bungeni iwapo malalamiko yaliyotolewa na wabunge kwamba Tembo wanauwa watu katika maeneo mbalimbali nchini yana ukweli wowote.
Spika Tulia amemwomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.