Bunge lapitisha adhabu ya kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,797
11,959
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu.

Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh. milioni 100 na isiyozidi Sh. milioni 200 kwa kosa la pili au makosa yanayojirudia.

Jana Bunge lilipitisha Muswada wa Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Sura ya 432. Sheria hiyo inaongeza adhabu katika vifungu vya 4, 5, 6, 7, 8A na 13 vya sheria hiyo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dk. Eliezer Feleshi, wakati akijibu hoja za wabunge zilizotolewa jana Bungeni, Dodoma, alisema mahakama kwa kuzingatia uzito wa kosa la shauri husika, inaweza kupandisha adhabu kutoka miaka 30 na imeweka kiwango cha chini.

“Wabunge wengi wametaka kuwe na adhabu ya lazima na zaidi yake sasa pale ambapo kuna ulazima kutakuwa na faini. Chini ya kifungu cha 4, kifungu ambacho zamani kilikuwa cha hiari, miaka miwili mpaka 10, sasa ni miaka 20 mpaka 30.

“Kifungu kidogo cha 5 (3), zamani ilikuwa mwaka mmoja mpaka miaka saba lakini ilikuwa ni option (sio lazima). Kwa sasa ni mandatory (ni lazima), si chini ya miaka mitano na isizidi miaka 10 lakini kwa wale waliokuwa wanasema adhabu ya maisha.

“Kifungu 5 (4) zamani ilikuwa miaka 10 mpaka 20 kwa hiari, lakini sasa ni lazima miaka isiyopungua 30. Maana yake Mahakama kwa kuzingatia mazingira ya shauri husika inaweza ikapandisha adhabu kutoka miaka 30 na kwenda juu na imeseti minimum (kiwango cha chini).”

Katika maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali, Namba 2 wa Mwaka 2022, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Najma Murtaza Giga, alisema kamati inaishauri serikali kuweka adhabu ya juu kabisa, kwa mtu anayerudia makosa kuwa kifungo cha maisha.

“Kwa kuzingatia kwamba tafiti zinaonyesha kwamba waathirika wakubwa wa usafirishaji haramu wa binadamu ni wanawake na watoto, ni vyema serikali ikafanya tafiti za kina na kupendekeza adhabu kali zaidi, kwa lento la kuzuia usafirishaji haramu wa binadamu ili kuyalinda makundi haya,” alisema.

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Salome Makamba, alipendekeza adhabu hiyo ya kifungo cha maisha jela, akisisitiza kuwa wanaofanya biashara hiyo wanalipwa fedha nyingi za kigeni, kwa hiyo faini ya Sh. milioni 50 kwao si kitu na wanaweza kulipa.

“Nimeona tunajaribu kuongeza kiwango cha adhabu, kwa maana ya kifungo na faini kwa watu wanaohusika na usafirishaji wa binadamu. Mimi sijui ni kwa nini serikali wameliona hili kuliko suala la dawa za kulevya. Sijui ni kwa nini?

“Biashara ya usafirishaji binadamu ilishapigwa marufuku miaka mingi iliyopita. Hatuna sababu yeyote Mheshimiwa Waziri ya kuendelea kubembeleza wanaosafirisha binadamu. Kusafirisha binadamu ni unyama.

“Mimi nafikiri hivi viwango vya faini vilivyowekwa hakuna sababu ya kutoza faini milioni 50, kwa sababu kama mimi nataka kusafirisha binadamu nawapeleka nje kwenda kufanya kazi, mtu mmoja analipwa mpaka dola 5,000 dola 15,000, kwa shilingi milioni 50 ni kitu gani? Faida wanayoipata watu wanaosafirisha binadamu ni kubwa. Napendekeza adhabu ya maisha kwa watuhumiwa na kosa la kusafirisha binadamu,” alisema.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ng’wasi Kamani, naye alipendekeza adhabu hiyo akisema serikali ina nia njema ya kukabiliana na vitendo hivyo.
 
Ukifanikisha kuwavusha wahamiaji kama 10 ni pesa ndefu sana unapiga najua Kwa sheria hii iliyopitishwa kuna watu watapiga pesaa ndefu sana tena ndiyo thamani ya kubisha itaongezeka mara 2...
Hii fusra kabisaa
 
Sasa pesa za kusumbulia mashangazi ya sinza zitatoka wapi. Hizi ndio deal zetu

Polisisiyemu wanafurahi maana hongo na rushwa zao inaongezeka
 
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu.

Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh. milioni 100 na isiyozidi Sh. milioni 200 kwa kosa la pili au makosa yanayojirudia.

Jana Bunge lilipitisha Muswada wa Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Sura ya 432. Sheria hiyo inaongeza adhabu katika vifungu vya 4, 5, 6, 7, 8A na 13 vya sheria hiyo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dk. Eliezer Feleshi, wakati akijibu hoja za wabunge zilizotolewa jana Bungeni, Dodoma, alisema mahakama kwa kuzingatia uzito wa kosa la shauri husika, inaweza kupandisha adhabu kutoka miaka 30 na imeweka kiwango cha chini.

“Wabunge wengi wametaka kuwe na adhabu ya lazima na zaidi yake sasa pale ambapo kuna ulazima kutakuwa na faini. Chini ya kifungu cha 4, kifungu ambacho zamani kilikuwa cha hiari, miaka miwili mpaka 10, sasa ni miaka 20 mpaka 30.

“Kifungu kidogo cha 5 (3), zamani ilikuwa mwaka mmoja mpaka miaka saba lakini ilikuwa ni option (sio lazima). Kwa sasa ni mandatory (ni lazima), si chini ya miaka mitano na isizidi miaka 10 lakini kwa wale waliokuwa wanasema adhabu ya maisha.

“Kifungu 5 (4) zamani ilikuwa miaka 10 mpaka 20 kwa hiari, lakini sasa ni lazima miaka isiyopungua 30. Maana yake Mahakama kwa kuzingatia mazingira ya shauri husika inaweza ikapandisha adhabu kutoka miaka 30 na kwenda juu na imeseti minimum (kiwango cha chini).”

Katika maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali, Namba 2 wa Mwaka 2022, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Najma Murtaza Giga, alisema kamati inaishauri serikali kuweka adhabu ya juu kabisa, kwa mtu anayerudia makosa kuwa kifungo cha maisha.

“Kwa kuzingatia kwamba tafiti zinaonyesha kwamba waathirika wakubwa wa usafirishaji haramu wa binadamu ni wanawake na watoto, ni vyema serikali ikafanya tafiti za kina na kupendekeza adhabu kali zaidi, kwa lento la kuzuia usafirishaji haramu wa binadamu ili kuyalinda makundi haya,” alisema.

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Salome Makamba, alipendekeza adhabu hiyo ya kifungo cha maisha jela, akisisitiza kuwa wanaofanya biashara hiyo wanalipwa fedha nyingi za kigeni, kwa hiyo faini ya Sh. milioni 50 kwao si kitu na wanaweza kulipa.

“Nimeona tunajaribu kuongeza kiwango cha adhabu, kwa maana ya kifungo na faini kwa watu wanaohusika na usafirishaji wa binadamu. Mimi sijui ni kwa nini serikali wameliona hili kuliko suala la dawa za kulevya. Sijui ni kwa nini?

“Biashara ya usafirishaji binadamu ilishapigwa marufuku miaka mingi iliyopita. Hatuna sababu yeyote Mheshimiwa Waziri ya kuendelea kubembeleza wanaosafirisha binadamu. Kusafirisha binadamu ni unyama.

“Mimi nafikiri hivi viwango vya faini vilivyowekwa hakuna sababu ya kutoza faini milioni 50, kwa sababu kama mimi nataka kusafirisha binadamu nawapeleka nje kwenda kufanya kazi, mtu mmoja analipwa mpaka dola 5,000 dola 15,000, kwa shilingi milioni 50 ni kitu gani? Faida wanayoipata watu wanaosafirisha binadamu ni kubwa. Napendekeza adhabu ya maisha kwa watuhumiwa na kosa la kusafirisha binadamu,” alisema.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ng’wasi Kamani, naye alipendekeza adhabu hiyo akisema serikali ina nia njema ya kukabiliana na vitendo hivyo.
Sawa. Na wadawa za kulevya?
 
Salome Makamba sio mbunge wa viti maalum Chadema.
Habari nzima itakuwa imepotoshwa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Chadema haina mbunge wa viti maalum bungeni.Acheni ushamba.

Kwahiyo faine ya 100 ni kubwa watashindwa kulipa
 
“Nimeona tunajaribu kuongeza kiwango cha adhabu, kwa maana ya kifungo na faini kwa watu wanaohusika na usafirishaji wa binadamu. Mimi sijui ni kwa nini serikali wameliona hili kuliko suala la dawa za kulevya. Sijui ni kwa nini?

“Biashara ya usafirishaji binadamu ilishapigwa marufuku miaka mingi iliyopita. Hatuna sababu yeyote Mheshimiwa Waziri ya kuendelea kubembeleza wanaosafirisha binadamu. Kusafirisha binadamu ni unyama.
Tazama wanavyokanyagana wao kwa wao, zinazoumia hapa ni nyasi

Panya road wanahatarisha aman ya watanzania. Kwa nini pia hii adhabu isiwahusu!? Me .nashauri hata wao wakipatikana na hatia, jela maisha.
 
Chadema haina wabunge wa viti maalumu bungeni. Nimeishia hapo sikuendelea kusoma tena
 
Hilo walilolifanya na kuafikiana, ni la kupongezwa.

Wafanye na walioko nje...Wawakamate na hao wanunuzi, au?

Hata NYARA za Taifa, kama hazina makali hayo.

Bunge linaweza kufanya kazi(pitisha sheria zinazogusa jamiii moja kwa moja kama hiyo ya "Biashara haramu" (kwa jina lingine kupelekwa utumwani) kazi za "kujiamlia, na sio za kupelekewa
na kupiga mihuri.
Na mimi nawa rubber stamp!
Heko
 
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu.

Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh. milioni 100 na isiyozidi Sh. milioni 200 kwa kosa la pili au makosa yanayojirudia.

Jana Bunge lilipitisha Muswada wa Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu, Sura ya 432. Sheria hiyo inaongeza adhabu katika vifungu vya 4, 5, 6, 7, 8A na 13 vya sheria hiyo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dk. Eliezer Feleshi, wakati akijibu hoja za wabunge zilizotolewa jana Bungeni, Dodoma, alisema mahakama kwa kuzingatia uzito wa kosa la shauri husika, inaweza kupandisha adhabu kutoka miaka 30 na imeweka kiwango cha chini.

“Wabunge wengi wametaka kuwe na adhabu ya lazima na zaidi yake sasa pale ambapo kuna ulazima kutakuwa na faini. Chini ya kifungu cha 4, kifungu ambacho zamani kilikuwa cha hiari, miaka miwili mpaka 10, sasa ni miaka 20 mpaka 30.

“Kifungu kidogo cha 5 (3), zamani ilikuwa mwaka mmoja mpaka miaka saba lakini ilikuwa ni option (sio lazima). Kwa sasa ni mandatory (ni lazima), si chini ya miaka mitano na isizidi miaka 10 lakini kwa wale waliokuwa wanasema adhabu ya maisha.

“Kifungu 5 (4) zamani ilikuwa miaka 10 mpaka 20 kwa hiari, lakini sasa ni lazima miaka isiyopungua 30. Maana yake Mahakama kwa kuzingatia mazingira ya shauri husika inaweza ikapandisha adhabu kutoka miaka 30 na kwenda juu na imeseti minimum (kiwango cha chini).”

Katika maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho Mbalimbali, Namba 2 wa Mwaka 2022, Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Najma Murtaza Giga, alisema kamati inaishauri serikali kuweka adhabu ya juu kabisa, kwa mtu anayerudia makosa kuwa kifungo cha maisha.

“Kwa kuzingatia kwamba tafiti zinaonyesha kwamba waathirika wakubwa wa usafirishaji haramu wa binadamu ni wanawake na watoto, ni vyema serikali ikafanya tafiti za kina na kupendekeza adhabu kali zaidi, kwa lento la kuzuia usafirishaji haramu wa binadamu ili kuyalinda makundi haya,” alisema.

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Salome Makamba, alipendekeza adhabu hiyo ya kifungo cha maisha jela, akisisitiza kuwa wanaofanya biashara hiyo wanalipwa fedha nyingi za kigeni, kwa hiyo faini ya Sh. milioni 50 kwao si kitu na wanaweza kulipa.

“Nimeona tunajaribu kuongeza kiwango cha adhabu, kwa maana ya kifungo na faini kwa watu wanaohusika na usafirishaji wa binadamu. Mimi sijui ni kwa nini serikali wameliona hili kuliko suala la dawa za kulevya. Sijui ni kwa nini?

“Biashara ya usafirishaji binadamu ilishapigwa marufuku miaka mingi iliyopita. Hatuna sababu yeyote Mheshimiwa Waziri ya kuendelea kubembeleza wanaosafirisha binadamu. Kusafirisha binadamu ni unyama.

“Mimi nafikiri hivi viwango vya faini vilivyowekwa hakuna sababu ya kutoza faini milioni 50, kwa sababu kama mimi nataka kusafirisha binadamu nawapeleka nje kwenda kufanya kazi, mtu mmoja analipwa mpaka dola 5,000 dola 15,000, kwa shilingi milioni 50 ni kitu gani? Faida wanayoipata watu wanaosafirisha binadamu ni kubwa. Napendekeza adhabu ya maisha kwa watuhumiwa na kosa la kusafirisha binadamu,” alisema.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Ng’wasi Kamani, naye alipendekeza adhabu hiyo akisema serikali ina nia njema ya kukabiliana na vitendo hivyo.
Vifungo virefu havijawahi kuwa muarobaini wa tatizo lolote walianza na miaka 30 sijui kwa makosa ya wizi wa kutumia silaha sijui kumpa mwanafunzi mimba sijui na nini tena je hivyo vitendo vimepungua? Adhabu inatakiwa ilenge kurekebisha mhalifu na sio kumkomoa kwa sababu anayetenda kosa yuko nje na hiyo adhabu haiko kichwani kwake. Serikali itafute namna nzuri ya kukomesha vitendo hivyo sio kuongeza urefu wa vifungo majibu mepesi kwa maswali magumu.
 
Hapo wameongeza tu wigo wawatu kupiga hela ndefu.Enzi za Jpm rushwa ilikua kubwa kwasababu watu waliogopa kutumbuliwa na sasa hivi wacheza hizo dili watapandisha dau zaidi kwakisingizio cha hiyo sheria.
 
Back
Top Bottom