Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema imekuwa mfano mzuri wa kujiendesha bila ruzuku ya Serikali, kwa hili wanastahili pongezi CCM na ACT wazalendo igeni uzalendo wa Chadema
1 Reactions
3 Replies
587 Views
Kwa wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka moja ya jambo lililoahidiwa na Magufuli kupitia Ilani ya CCM ni kuhakikisha kuwa wananchi wote wanaunganishwa na mifuko au mfuko wa bima ya Afya.hili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na...
0 Reactions
7 Replies
910 Views
Nimeona Waziri wa Fedha akisema tozo kwenye mabank wameziondoa na tozo walizoziondoa ni kama zifuatazo. (i) Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu pande zote. (ii) Tozo ya...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Kitendo cha Serikali ya Tanzania kutaka kodi zote zinazowahusu wenye nyumba zilipwe na wapangaji ni kitendo cha Kinyama, kisichoeleweka na kinachoshangaza sana. Nyumba zote za Tanzania zimejengwa...
14 Reactions
63 Replies
5K Views
KAMATI KUU YA CCM ISIRUDIE MAKOSA KUPITISHA WAGOMBEA UBUNGE WASIO NA UWEZO. Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi... mjibu kwa pamoja CHAMA KIENDELEE. Leo nimekuja na ishu inayohusu chama...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
TAARIFA YA AWALI. Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Embu tuweke ushabiki pembeni, sasa tujadili hili. Ni kweli rais wetu mpendwa mama Samia ameoneka kwenye msiba wa malkia wa Uingereza akiwa ndani ya basi, na picha mnato ikionyesha kama hakupenda...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Akizungumza kwenye kikao na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chadema , Naibu Katibu mkuu wa Chama hicho , Salum Mwalimu , amedai kwamba haitoshi tu kusema kwamba NHIF Imefirisika , ni...
4 Reactions
4 Replies
628 Views
Kuna tofauti kubwa sana namna maraisi wa nchi za kiafrika na wale wa mataifa yalioyoendelea wanavyokuwa treated katika nchi zao. Kwa mfano,ukisema raisi ajiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
Nimefuatilia matangazo ya bbc kutoka London. Naona wanajitahidi kuwafanyia mahojiano viongozi wa kike akiwemo waziri mkuu wa Bangladesh na PM wa New zealand. Ila sijaona mama yetu ambaye ni Rais...
12 Reactions
113 Replies
8K Views
Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa. Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji. Kwa wasafiri wa kivuko cha...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Katika siku za Karibuni, zimetolewa kauli mbili tofauti toka kwa viongozi wakubwa kabisa Katika Serikali yetu ya CCM. Kwanza ilitolewa kauli na Makamu wa Rais, Dkt. Philipo Mpango, akiwa jijini...
12 Reactions
71 Replies
5K Views
Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Kwa vile serikali inahangaika sana ni vipi itapata mapato na kwenda mbali kuweka tozo zinazoumiza wananchi. Nimeona nifungue uzi wa kutoa ushauri ni wapi “Mwigulu” akatafute mapato. 1. Serikali...
1 Reactions
11 Replies
920 Views
Wadau poleni na sekeseke la utitiri wa tozo mbalimbali mnazokumbana nazo chini ya wizara ya fedha chini ya waziri wake bwana Mwigulu mchemba waziri mwenye kauli za kejeli dhidi ya walipa kodi...
2 Reactions
5 Replies
590 Views
Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda. Kutokuwepo kwa sarafu moja...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Hicho ndicho kilichotokea hicho kinachoitwa Bunge! Serikali ilikuwa inawaibia wananchi, wanasimamisha wizi huo wanasema tumekusamehe. By principle, wamesisitisha kukuibia and then wanasema...
6 Reactions
9 Replies
617 Views
Wananchi wanalalamika juu ya hali ngumu ya maisha. Maisha yamekuwa ghali huku nafaka na vyakula vikiwa ghali na maisha kuwa magumu kwa wananchi. Bado wanakamuliwa tozo za kila namna na hapa ndipo...
15 Reactions
42 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi duniani baada ya Mazishi ya Malkia kumalizika . Unaambiwa Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichoketi kwa muda wa siku 2 Mkoani Dar es salaam , kimekuja...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom