Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Mtandao wa AbroadTanzania usiokuwa na usajili hapa nchini umeibuka Kwa Mara nyingine na kuendelea na tenda Yao ya kupakaza uongo dhidi ya viongozi wa Serikali. Mtandao huu umekuwa ukijinasibu...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Huyu Mbunge na naibu Spika....Ni zao la akili mfu zinazojipendekeza sana Serikalini huku zikiumiza raia wake. Huyu bwana na Tarimba huwa mara nyingi ukiwasikiliza unawaza tulimkosea nini Mungu...
1 Reactions
5 Replies
844 Views
Ni dhahiri kutokana na maneno na vitendo vyake, Hayati Magufuli, hakutaka vyama vya upinzani, hususani Chadema, viendelee kuwepo hapa nchini. Huyo Mwendazake, aliwahi kusikika akitamka hadharani...
1 Reactions
1 Replies
759 Views
Ila Mbowe amepitia mengi sana! Jioni moja pale Bungeni kwenye Ukumbi almaarufu sasa wa Msekwa uliibuka ugomvi wa maneno ya kejeli baina ya Waziri wa Elimu na Utamaduni kipindi hicho bwana Kapuya...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ndio taarifa ya motomoto.. ======= Serikali imeteua timu ya wataalam kufanyia kazi mkanganyiko wa tozo kwenye miamala ya fedha za simu na benki. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa Tarime mkoani...
4 Reactions
162 Replies
11K Views
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].” "Benki...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu, Mimi hua nikiangalia bunge letu naona wachekeshaji tu na watu wenye vioja na mzaha mwingi yaani ile dhana ya wawakilishi inafia hapo. Hua najiuliza hawa jamaa wanaenda mule ndani na...
2 Reactions
12 Replies
928 Views
Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe. Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Hoja ya Zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando...
0 Reactions
16 Replies
981 Views
Naibu spika amenukuliwa akilaumu wananchi kuwa malalamiko ya tozo ni makubwa wakati taasisi husika makato yake ni makubwa zaidi na kwamba huenda kuna njama tu za kukwamisha mambo ya serikali. Je...
1 Reactions
2 Replies
713 Views
Kabla ya Uchaguzi mkuu wa 2020 baadhi ya viongozi wa Chadema akiwemo Nusrat Hanje walikamatwa na kufunguliwa kesi Mkoani Singida. Kesi yao mara kadhaa ilikuwa ikitajwa na wakati mwingine...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
CCM ni kubwa kuliko mtu. Wapo watu wanatengeza safu za watu dhaifu ili waje kuwasaidia huko mbele ya safari. CCM si ya watu dhaifu bali chagueni watu wenye weredi na wachapakazi ili wakijenge...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza amesema hayo leo Jumatano Septemba 21, 2022 wakati akiwasilisha uchambuzio wa taarifa za maazimio ya Bunge kuhusu sheria ndogo. “Kamati ilibaini dosari...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Kumetokea tabia ambayo imeota mizizi ya kula jambo kukupa sifa wewe nawe kuzichekea kwa kudhani zinakuinua lakini hiyo ni mbinu chafu ambayo siku wapinzani wakipata nafasi yao ya kikatiba na...
1 Reactions
5 Replies
876 Views
Ndiye Katibu Mkuu wa CCM asiyejivuna na ni mtu muungwana sana! Daniel ni moja ya vijana waliokuzwa na kulelewa na CCM na kuiva hasa. Ucha Mungu wake pia ni ushahidi tosha Daniel anaiishi...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa...
13 Reactions
44 Replies
4K Views
WABUNGE wa wilaya Tunduru ,Jimbo la kusini na Jimbo la kaskazini walitupiana makonde kwenye kamati ya siasa. ilibidi mkuu wa wilaya Mh Mutatiro kuwatenganisha na katibu kutoa nje. Tukio Ni matokeo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Binafsi naamini mikutano ya Wapinzani ni fursa nzuri ya Rais wa nchi kuelewa na kuyajua yale ambavyo Wapambe na wanaomzunguka hawataki ayajue Lakini pia mikutano ya Wapinzani hutoa suluhisho la...
5 Reactions
7 Replies
782 Views
1. Kwa sababu wachache kama Biden hakupanda bus hivyo tunaona ni unyanyapaa kwa sababu wao ni Waafrika? Kama hii ndio sababu basi ni kujimwambafai tu kwa raia. Biden ni "global leader", anatembea...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom