Mchora katuni Oppter afutiwa kesi, akamatwa tena na polisi

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
TAARIFA YA AWALI.

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay.
Nimeongea na wakili wake, yupo Oysterbay kwa ajili ya kuanza kulishughulikia suala hili

Kwa msiomfahamu, Oppter Fwema alimakatwa kwa tuhuma za kuchora katuni inayokosoa utawala wa awamu ya sita.

Screenshot_20220920-154455_Google.jpg

===========UPDATE===========

View attachment 2362763
Msanii Optatus Fwema amefanikiwa kupata dhamana baadavya wanasheria wake kufika kituo cha polisi Oysterbay.

Pichani ni Oppter akiwa na wanasheria pamoja na nduguze leo tarehe 20/09/2022
 
TAARIFA YA AWALI.

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay.
Nimeongea na wakili wake, yupo Oysterbay kwa ajili ya kuanza kulishughulikia suala hili

Kwa msiomfahamu, Oppter Fwema alimakatwa kwa tuhuma za kuchora katuni inayokosoa utawala wa awamu ya sita.

View attachment 2362700
Kwa katuni hii huyu jamaa ana akili sana
 
Teh teh teh 😂😂😂 hii katuni ni dhihaka kabisa...
 
Mtoto wa kishua na familia kubwa ya CCM.
Mzee wake ni sehemu ya marafiki wakubwa na washauri wa mkwere.
Kesi imeisha hiyo.
Jk na familia ya Mzee Fortunatus Fwema ni chuma na kutu
 
IMG-20220920-WA0040.jpg

Msanii Optatus Fwema amefanikiwa kupata dhamana baadavya wanasheria wake kufika kituo cha polisi Oysterbay.

Pichani ni Oppter akiwa na wanasheria pamoja na nduguze leo tarehe 20/09/2022
 
TAARIFA YA AWALI.

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay.
Nimeongea na wakili wake, yupo Oysterbay kwa ajili ya kuanza kulishughulikia suala hili

Kwa msiomfahamu, Oppter Fwema alimakatwa kwa tuhuma za kuchora katuni inayokosoa utawala wa awamu ya sita.

View attachment 2362700

===========UPDATE===========
Maridhiano at work
 
Ndiyo maana nchi ni masikini haswa, tuna kazi moja tu ya kusifia
Tanzania taaluma zimekwisha, kaput! Daktari, Mhandisi Mhasibu, Padri, huwa Tina miiko fulani - huwezi kutenda jambo baya eti kwa sababu ni kazi yako. Wakili wote hawa hawana maadili, ni kama malaya, walitakiwa waikatae hii kesi mshitakiwa ajitee mwenyewe. Hawa watakuwa ni wale wanaolipwa na NGO za Kenya kutetea Loliondo au wanalipwa na EU kama kesi ya mbowe ya ugaidi. TLS ² walinistua walipomchagua mtu wao.
 
Hata sijakuelewa sijui nini umeandika
 
TAARIFA YA AWALI.

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay.
Nimeongea na wakili wake, yupo Oysterbay kwa ajili ya kuanza kulishughulikia suala hili

Kwa msiomfahamu, Oppter Fwema alimakatwa kwa tuhuma za kuchora katuni inayokosoa utawala wa awamu ya sita.

View attachment 2362700

===========UPDATE===========
ktk katuni hiyo josa lake lipo wapi mana mi naona mtu mnene shati limeandikwa kiwete na nyuma ya huyo kuna mama anachezea maji.Sasa wapi imeandikwa nchi fulani na rais fulani?Msaada mnaojuwa vema.
 
Acha mzaha mkuu! Hilo beseni lina rangi ya bendera ya nchi gani?

Siungi mkono ubabe wa vyombo vya ulinzi na usalama, lakini hii katuni inaleta dhihaka na sio utani!

Kijana ajifunze kukosoa kwa weledi, na sio kiboya namna hiyo. Hizi serikali zinazoongozwa na wanadamu haziwezi kukupatia uhuru wa namna hiyo.
 
Tanzania taaluma zimekwisha, kaput! Daktari, Mhandisi Mhasibu, Padri, huwa Tina miiko fulani - huwezi kutenda jambo baya eti kwa sababu ni kazi yako. Wakili wote hawa hawana maadili, ni kama malaya, walitakiwa waikatae hii kesi mshitakiwa ajitee mwenyewe. Hawa watakuwa ni wale wanaolipwa na NGO za Kenya kutetea Loliondo au wanalipwa na EU kama kesi ya mbowe ya ugaidi. TLS ² walinistua walipomchagua mtu wao.
Maji ya kunde ndani ya kichwa aisee
 
Back
Top Bottom