Kinachoonekana ni serikali kuanza kushindwa na tatizo la panya road. Hili ni jeshi linalovamia kimya kimya na kufanya uhalifu mzito ndani ya muda mchache na kupotea.
Ni wazi serikali imechemsha...
Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono Serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali.
Kwenye hili...
Ukiondoa story za vijiweni na uzushi mwingi kumhusu alhaj Kighoma Malima RIP binafsi nilimkubali sana yule Prof kwa kunena na kutenda Kwake.
Wakati akiwa Waziri wa Fedha nilikuwa nafuatilia jambo...
Watu wa kulalamikia ni walenwapiga makofi kule Mjengoni wale ndio tatizo kubwa sana nchi hii, na awu hii walivyo jazana kule sasa ndio balaa tupu.
Naona watu wanamulaumu sana Mwigulu, sijaona...
Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya...
Wiki hii kwangu imenipa kufikiri sana. Mitandao ya kijamii na habari iliyozagaa sana huko, ilikuwa kuhusu usafiri wa mabasi ambao viongozi, wakuu wa nchi waliotumia kwenye mazishi ya malkia wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es...
UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili.
Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
Mnaoimba uzuri wa Magufuli tusaidieni haya maswali ili nafsi zetu ziungane nanyie. Mnamsifu kwa kujenga miradi ya kimkakati sawa lakini itakuwa na faida gani kama anadaiwa kuua watu?
J, kuna haja...
Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi !
"Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi...
Kila transaction uliyofanya kuanzia mwezi wa 7 serikali inakukata 4000 mara 2. Huu ni WIZI. nasisitiza huu ni WIZI WA WAZI KABISA.
Serikali Hii inafanya WIZI WA PANYA OFFICE. ni tofauti ndogo tu...
1. Misururu ya magari barabarani, ni nadra sana kuona misururu ya magari ikiwa kwenye misafara ya kiongozi wa nchi huko kwa waliondelea. Kama watatumia magari basi ni machache, wengine wanatumia...
Mwigulu Nchemba ana ushetani mwingi sana. Hana utu hata kidogo,ana kiburi na mjivuni sana. Suala la kuwakata watu pesa zao zikiwa bank na wanapotoa huu watu wameuchukulia kama ni Unyang'anyi wa...
RC MAKALLA: OPERESHENI INAENDELEA, DAR ES SALAAM NI SHWARI
- Asema Operesheni ya kukamata Panya Road imekuwa na mafanikio makubwa.
- Vituo vya polisi vikubwa kwa vidogo kufanya kazi saa 24...
Salaam Wakuu,
Bunge la Umoja wa Ulaya limeazimia Azimio linalozitaka Tanzania na Uganda kusitisha mara moja uendelezaji wa Miradi ya mafuta na Gesi katika Ukanda wa Afrika Mashariki.
Wanadai...
Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022.
Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba...
Wanajamvi habarini? Nisiwachoshe sana ngoje nitoe madini kidogo kuhusu itifaki ilitomika kuwabeba vichwa vya dola (Head of states ) huko kwenye msiba wa bi Elizabeth na kuwa ngumzo huko...
Huu ndiwo ukweli bayana ambao CCM yangu inabidi itambue.
Tofauti baina ya wenye nacho na wasiokuwa nacho inaendelea kuwa kubwa hapa kwetu Tanzania na hapo ndipo viashiria vyote vya vurugu huko...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na MIchezo Dkt. Abbas anafunga kikao cha maudhui ya ndani leo Septemba 16, 2022 wakati wa Warsha ya Kuhamasisha Uandaaji, na Uzalishaji wa Maudhui ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.