Chadema yamuomba CAG kuikagua NHIF

Chadema yamuomba CAG kuikagua NHIF

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,385
Reaction score
289,498
Akizungumza kwenye kikao na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chadema , Naibu Katibu mkuu wa Chama hicho , Salum Mwalimu , amedai kwamba haitoshi tu kusema kwamba NHIF Imefirisika , ni lazima ifahamike kwamba ni kitu gani kimesababisha michango ya wanachama wa Mfuko huo kupotea , na amemuomba CAG afanye ukaguzi maalum ili kubaini chanzo cha jambo hilo .

Mungu ibariki Chadema
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom