Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Bi. Dorothy Mwamsiku akiwa ameambatana na Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Morogoro Ndugu Anthony Mhando, ametembelea Shule Shikizi Lukande, Wilaya ya Ulanga...
Tangu upite uteuzi wa Wakuu wa Mikoa hakuna kinachofanyika huku kwenye Halnashauri.
Kauri yako uliyoitoa wakati unawaapisha wakuu wa mikoa ya kwamba " zege halilali ,hii itaenda hadi chini"...
Rais wa Zanzibar Dr Mwinyi ameshiriki Uchaguzi wa viongozi wa wilaya na kuwataka Urafiki na Undugu wauache nyumbani pale wachague viongozi Bora tu
Aidha Rais Mwinyi amesema anatarajia kubadilisha...
CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania...
Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi.
Taarifa iliyotolewa na Waziri wa...
Manispaa ya Dodoma ilipima viwanja vingi tu katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma hasa baada ya Makao Makuu ya Nchi kuhamishiwa Dodoma. Sio Manispaa tu, bali hata makampuni binafsi yamepima na...
Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuna wasomi wanashangaa PhD yake kwa sababu tu anahimiza watu walipe kodi za wapangaji.
Mwigulu amesema kodi ni lazima ilipwe na Watu wote ili nchi ipate maendeleo.
Katibu wa Taasisi za Jumuiya za kiislam Sheikh Issa Ponda ameshauri kuwepo Mjadala wa kitaifa kuhusu Udhalilishaji wa Watoto unaofanywa hata na Viongozi wa dini Wachungaji, Mapadre na maustaadh...
Na Prisca Ulomi, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Dodoma
Wawakilishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) wakiongozwa na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende leo tarehe 18...
SERIKALI IMETATUA CHANGAMOTO ZA UBIA NA TAASISI ZA DINI- BASHUNGWA
Eliud Rwechungura - OR TAMISEMI
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imeimarisha Ushirikiano na Taasisi na Mashirika ya...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro Jaffar Kandege ameshindwa kutetea nafasi yake baada ya wajumbe wa mkutano mkuu kumbwaga
Katika uchaguzi huo...
Serikali jana iliwasilisha Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) 2022 Bungeni ukitoa masharti ya lazima kwa watu kujisajili katika mipango ya bima ili kupata huduma kadhaa za kijamii.
Muswada huo...
Mwamba wa siasa Nchini Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema , Freeman ametajwa hadharani kwamba atakuwa mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yatakayofanyia Mjini...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetoa shutuma kali kwa Wanaharakati na Asasi/Mashirika ya kutetea haki za binadamu kuwa yamewatelekeza katika harakati zao...
Wadau Nawasalimu.
Kwa Uzoefu wangu wa Kesi zinazoihusu CHADEMA Hucheleweshwa kwa Makusudi na MAHAKAMA za Tanzania NITASHANGAA sana iwapo KESI hiyo Itatolewa Hukumu kabla ya Mwaka 2025.
DALILI za...
❖ Mawakili Wajipanga Kuelimisha Umma Kuhusu Katiba na Haki za Binadamu
Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma
Serikali yawapa Mawakili Wafawidhi wa Serikali siku kumi nne kuanzia leo kuwasilisha...
Nikiwa mkaazi wa jiji la Arusha napenda kumkumbusha mbunge wa Arusha haya yafuatayo.
1. KUKITHIRI KWA UMALAYA (MADADA POA).
Mitaa ya Kaloleni ikijumuisha sehemu za Mrina, casa, picnic na maeneo...
1. Kikwete alijenga shule za kata nchi nzima bila tozo
2. Kikwete alijenga chuo kikubwa zaidi Tanzania ( UDOM ) bila tozo.
3. Kikwete alijenga maelfu ya kilomita za lami nchi nzima bila Tozo...
Wilaya ya Magu iliyopo Mkoani Mwanza leo trh 02/10/2022 inafanya uchaguzi wake wa kuwapata viongozi wa CCM.
Kama ilivyo desturi ya ccm, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndg Zabron amepewa muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.