Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo. 'Owner Chair' Taifa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Na Innocent Mungy, Bucharest Tanzania imechaguliwa miongoni mwa nchi 48 kati ya nchi 193 wanachama wa ITU kuwa katika Baraza la Shirika la Mawasiliano duniani - International Telecommunication...
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Habari ,Wanajamvi nadhani mmeona kuna kipande cha video kinazunguka mitandaoni kikimuonesha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Tulia Aksoni akiwaambia vijana wa Mbeya na vijana...
2 Reactions
4 Replies
948 Views
Bilionea Mbowe , ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Tajiri aliyejitolea kusaidia Watanzania kupitia Siasa , Amewasili Katika Jiji la...
41 Reactions
117 Replies
10K Views
Wengi tumejiuliza kilichomsibu balozi Mulamula. Ukisikiliza kwa makini hutuba ya Rais Samia utujua kuwa Waziri Mulamula alipishana na Rais kuhusu masuala ya upande wa pili wa Muungano...
10 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama tunavyofahamu chama makini CCM kipo kwenye uchaguzi wa viongozi nchi nzima. Mbowe amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti Mpya wa CCM Ubungo. Ni kiongozi mzuri na atafanya vizuri ubungo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hili Mulamula, I guess and I say I guess lilimshinda na limemuondoa. Nilikuwa simsikii akipaza sauti za uchawa wa kusifu na kusifia mamlaka ya uteuzi wake. Nasema inawezekana hili limemuondoa...
1 Reactions
5 Replies
852 Views
Hivi unajua watu wanavyoliowa areas zao kwa mafungu? Yaani unatusababishia watu waanze kujihusisha na rushwa, unakuta kituo kimoja cha kazi mtu analipwa mapunjo ya mshahara wengine wanaachwa na...
1 Reactions
5 Replies
866 Views
Waziri mkuu mstaafu mzee Msuya amesema wakati mwingine huwa vigumu kupima uhalisia wa malalamiko ya wananchi kwa sababu hulalamika bila kumaanisha Kwa mfano wanalalamikia Bei ya mafuta wakati...
8 Reactions
74 Replies
5K Views
Mabadiliko madogo yaliyofanywa na Rais SAMIA SULUHU HASSAN katika Baraza la Mawaziri yanapaswa kupongezwa kwa kuwa yanalenga kuleta matokeo chanya kwa Taifa hususan katika: Kuendelea kuimarisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa...
0 Reactions
9 Replies
945 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), David Mattaka na mwenzake kulipa faini ya Sh35 milioni kila mmoja au kutumikia kifungo...
2 Reactions
88 Replies
20K Views
Hii ni sawa wajameni? si alitakiwa aapishwe bungeni kuwa mbunge kwanza ndipo aape kuwa waziri/ au kuna shortcut? Yaani kwa wenzetu kenya hata mawaziri, IGP etc wakichaguliwa na RAIS wanatakiwa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii nimeikuta Bureau of Statistics
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wateule Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 03 Oktoba, 2022 Nawapongeza kwa walio hapa. Mhe. Angela siyo mgeni...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kamati ya Wataalamu wa Umoja wa Afrika kuhusu Haki na Ustawi wa Mtoto (ACERWC) imeitaka Serikali kupitia upya sera zinazokandamiza haki ya wasichana kupata elimu ikiwa ni pamoja na kuzuia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom