Daudjuma
Senior Member
- May 31, 2011
- 104
- 98
Wilaya ya Magu iliyopo Mkoani Mwanza leo trh 02/10/2022 inafanya uchaguzi wake wa kuwapata viongozi wa CCM.
Kama ilivyo desturi ya ccm, Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ndg Zabron amepewa muda wa kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu na kuombwa na msimamizi wa uchaguzi avunje rasmi iliyokuwa kamati ya siasa.
Akitekeleza hatua hiyo ndugu Zabroni ametoa mwongozowa kuchagua viongozi kwa lugha ya Kisukuma kwamba "Chagueni kiongozi kwa kuangalia ukoo wake na anakotoka"
Kitendo hiki kimeonesha wazi kabisa kwamba ameingiza UKABILA kwenye uchaguzi huu, na kwamba ambaye si mzawa kutoka eneo chaguzi hili asipewe nafas ya uongozi katika eneo uchaguzi hili.
(Kwa tafsiri yangu,)UONGOZI ngazi ya Mkoa/Taifa unatakiwa kukemea vitendo vya aina hii kwani Katiba ya chama haielekezi hivyo.
Hadi sasa uchaguzi bado unaendelea.