Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana...
Kwa mara ya kwanza uchaguzi ndani ya chama cha Mapinduzi hakuna aliyepita bila kupingwa wala fomu kupotea.
Kwanza Mwenyekiti amefanikiwa kuvunja nguvu ya mitandao ndani ya chama alipima na...
Kuwatetea Panyaroad kwamba wasiuawe na Wananchi wenye hasira kali ni Jambo jema kwani ndio Utawala wa Sheria
Lakini Chadema kutokana na ukubwa wake ingejikita zaidi kwenye mijadala wa Mfumuko wa...
Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu.
Walalamikaji wa...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigullu alitoa agizo bungeni kwamba baada ya Tozo kufutwa na kupunguzwa viongozi wote watatakiwa kubana matumizi na kupunguzwa safari
Cha ajabu baada ya agizo Hili Chadema...
Uchaguzi wa CCM wilaya ya Hai huko Kilimanjaro waingia dosari baada ya DC kuiba Kura na kupata kura 400 ambazo hakuna waliompigia kura.
Idadi ya waliojiandikisha kupiga Kura imezidi Idadi ya...
Akitoa ufafanuzi wa uamuzi uliotolewa na EACJ, Wakili Jebra Kambole amesema kesi hiyo ni ya “Uvamizi wa Serikali” unaodaiwa kufanywa mwaka 2017 na haihusiani na ‘Mateso ya Wamasai’ ya Juni 2022...
Wananchi mbalimbali mkoani Mara wamejitokeza kulipongeza Jeshi la Polisi kudhibiti vikali vitendo vya ujambazi ambavyo vilianza kushamiri mkoani humo hivi karibuni.
Wananchi hao wameelezea namna...
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Waziri Mkuu Asisitiza Uadilifu Ujenzi Mji wa Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi waliopewa dhamana ya kusimamia awamu ya pili ya mradi wa...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk Benson Bagonza amesema Ili kuondoa malalamiko yanayotolewa dhidi ya matukio ya uhalifu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo...
Salaam wana jukwaa,
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia...
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba...
Watumishi hao ni Dkt. Zakayo Kyomo ambaye ni Kaimu Mkuu wa chuo cha VETA, Projestus Kabyemela (Mhasibu), Waziri Shaban Waziri (Mgavi) na Upendo Aidan Nindi (Afisa Ununuzi).
Watumishi hao...
Utafiti waanika wapinzani nchini kutochagulika
FRIDAY SEPTEMBER 30 2022
[https://www]
Summary
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti Repoa unaonyesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina...
Wawekezaji lengo lao ni kupata wala sio kuja kutuletea maendeleo. Ni juu ya nchi yenyewe kuweka sheria na taratibu kuhakikisha uwekezaji wa wageni unanufaisha umma wa wananchi wala sio wawekezaji...
Kwa jinsi ilivyo kwa sasa, huwenda nawakilisha wananchi wengi mamilioni kwa mamilioni wenye swali kama hili
Maisha yamekuwa ghali sana kushinda vipato vyetu,
Wengi wetu, vipato vyetu haviruhusu...
Kwa sasa kero kubwa kwa wananchi imekuwa kukithili kwa ujambazi na majambazi yamekuwa tishio.
Jeshi la police linajitahidi kupambana na majambazi kwa kila namna ili kuifanya nchi kuwa sehemu...
Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa Asilimia 5.4 tofauti na matarajio ya awali ya Asilimia 4.7 katika robo mwaka ya kwanza ya Mwaka huu wa 2022.
Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.