Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ambapo Mwanasiasa mmoja anadai Dkt. Mwigulu Nchemba ni Mwizi Fisadi na Tapeli.
Kwamba Dkt. Mwigulu Nchemba anavaa Tai ya bendera ya Taifa na kitambaa cha...
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza...
Tangu Rais Samia atengue uteuzi wa DC sabaya kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ndidi yake hisia zinaniambia Siku za Spika Ndugai zinahesabika ikizingatiwa kwamba makosa ya spika yanaonekana...
Unajua mimi nimezoea kuona chama cha utawala kuwa na nguvu kuliko chama cha upinzani nina maana nguvu ya kuamua vitu
Ila kitu icho naona ni tofauti kidogo kwenye siasa za Kongo
Rais wetu mpendwa...
Kati ya watu wanaotumia taaluma yao ya sheria ktk kutetea haki za binadamu tanzania ni mh. Lissu. Mchango wake ni mkubwa sana ktk bunge na nje ya bunge kuhakikisha haki sawa kwa watanzania wote...
Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu...
Ni barua inayozunguka mitandaoni. Hapa JF pia tuna thrd inayokosoa utaratibu wa kuwa na Samia sholarship.
Nionavyo, hii ni nyongeza ya kutorithishwa na maamuzi ya waziri/wizara.
Wabunge wapya walioteuliwa kuwa wabunge ni pamoja na Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Kakurwa Ali, Mbarouk Nassor Mbarouk na Liberata Mulamula.
Rais Samia Suluhu akitangaza Baraza...
Mchakato wa kuitoa nchi katika hatua moja duni kwenda katika hatua nyingine bora zaidi kwa jina la ukombozi, unahitaji watu waliodhamiria kweli kweli.
Jukumu hili haliwezi kuwa la kila mtu. Nyuso...
Ndugu wana jamvi, leo tarehe moja mwezi Oktoba debe moja la maharage linauzwa kwa 75,000/-, Debe la Mahindi linauzwa tshs. 22,500/- hapa Kasulu. Kiwango hiki hakijawahi kufikiwa tangu uhuru wa...
Ikiwa imetimia miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imelitaja Jeshi la polisi kama Taasisi kinara inayolalamikiwa zaidi na wananchi.
Hayo yamebainishwa...
Wanabodi
Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe...
Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na chombo kimoja cha habari. Kayombo alisema kila mfanyakazi...
JF wana
Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini...
Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao.
Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya...
JUMANNE, AGOSTI 24, 2021
MAKALA
Rais Samia tuteulie Waziri wa Ulinzi mwanamama
Na Nkwazi Mhango
KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa...
Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema wameipa TUCTA muda wakajadiliane kuhusu mishahara mipya kisha walete mapendekezo yao serikalini.
Naye Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema TUCTA...
Mwenezi wa NCCR mh Simbeye amesema Joseph Selasini ni mwanachama halali wa Chadema na alirejea February 2021
Simbeye amesema Joseph Selasini aligombea ubunge wa Rombo kwa tiketi ya Nccr lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.