Kwako Mbunge wa Arusha, zinduka wanaArusha tunateketea

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Nikiwa mkaazi wa jiji la Arusha napenda kumkumbusha mbunge wa Arusha haya yafuatayo.

1. KUKITHIRI KWA UMALAYA (MADADA POA).
Mitaa ya Kaloleni ikijumuisha sehemu za Mrina, casa, picnic na maeneo yaliyozunguka hizo sehemu ni aibu sana hata kupita na mtu unayemheshimu.

Wadada wanajiuza mchana, asubuhi na usiku bila aibu yoyote.

Wakiwa wamevaa nusu uchi kila anayepita wanamuita na kumkonyeza akaribie kwenye biashara zao.

2. UTUMIAJI UGORO KWA VIJANA UNYWAJI POMBE.

Huu mtaa ndiyo panaongoza kwa hivyo vilevi na imepelekea kupteza hata uwezo wa vijana wa kufanya kazi za kujitafutia kipato.

Mbunge wa jiji letu kumbuka wewe ni mwakilishi wa wananchi wa hili jiji.
Ebu tafuta muda ufuatilie haya majanga ingawa naelewa kuwa unayajua.

Nikutakie kazi njema zako za kibunge.
 
Nikiwa mkaazi wa jiji la Arusha napenda kumkumbusha mbunge wa Arusha haya yafuatayo.

1. KUKITHILI KWA UMALAYA (MADADA POA).
Mitaa ya Kaloleni ikijumuisha sehemu za Mrina, casa, picnic na maeneo yaliyozunguka hizo sehemu ni aibu sana hata kupita na mtu unaye mheshimu.

Wadada wanajiuza mchana,asubuhi na usiku bila aibu yoyote.

Mbunge hawezi kufanya kitu kitakacho waudhi wapiga "KULA"
 
Njia pekee ya mbunge kushughulikia haya mambo ni kudai mabadiliko ya huu mfumo mbovu uliotufikisha hapa. Afanye kazi yake ya kibunge kwa kuibana serikali na siyo kama walivyo rubber stamp ya serikali. Haya uliyoelezea yote ni dalili za mfumo uliofeli na mbunge kushuhulika na ''dalili'' badala ya tatizo ni kama kupoteza muda.
 
Nikiwa mkaazi wa jiji la Arusha napenda kumkumbusha mbunge wa Arusha haya yafuatayo.

1. KUKITHILI KWA UMALAYA (MADADA POA).
Mitaa ya Kaloleni ikijumuisha sehemu za Mrina, casa, picnic na maeneo yaliyozunguka hizo sehemu ni aibu sana hata kupita na mtu unaye mheshimu.

Wadada wanajiuza mchana,asubuhi na usiku bila aibu yoyote.

Wakiwa wamevaa nusu uchi kila anayepita wanamuita na kumkonyeza akaribie kwenye biashara zao.

2. UTUMIAJI UGORO KWA VIJANA UNYWAJI POMBE.

Huu mtaa ndiyo panaongoza kwa hivyo vilevi na imepelekea kupteza hata uwezo wa vijana wa kufanya kazi za kujitafutia kipato.

Mbunge wa jiji letu kumbuka wewe ni mwakilishi wa wananchi wa hili jiji.
Ebu tafuta muda ufuatilie haya majanga ingawa naelewa kuwa unayajua.

Nikutakie kazi njema zako za kibunge.
Arusha Haina Mbunge ,huyo ni mjumbe wa mwendazake
 
Sasa mbunge afanyeje...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Tuache utani wa kuchekeshana humu. Hii ni dalili mbaya. Hawa vijana wakusanywe kistaarabu wapewe ushauri na wawezeshwe kuanzisha biashara mdogo ndogo hasa zikilenga watalii na wageni. Nimewahi kuishi nchi kadhaa za Asia kama vile Thailand na Indonesia. Badala ya kuwafukuza vijana mijini wao huwawezesha Kwa kuwapatia fursa za kufanya biashara ktk masoko maalum ya bidhaa wanazotengeneza. Mfano masoko ya "sukumvit na "pat pong" mjini Bangkok. Vijana wanauza bidhaa usiku kucha wanahakikishiwa ulinzi na USALAMA. Huduma za benki zinakuwepo muda wote. Asubuhi utakuta wenye maduka Yao wanafungua pakiwa pasafi. Mama ntilie wanauza kwenye matolori kuanzia saa 12 asubuhi Hadi saa Mbili wanatoka na wanaacha pasafi.
Viziwi na wenye ulemavu mwingine wanapangiwa kuuza bidhaa ambazo hazifanani na wenye maduka makubwa mbele ya maduka hayo. Mathalan mtaa wa Akina Benson hapo Arusha basi utakuta walemavu wanauza matunda maalum au "culture" za kuvaa na urembo.
Kazi hizi mbunge na madiwani wanaweza kuzifanya bila kuleta malalamiko.
Nionacho Mimi ni uwajibikaji duni wa halmashauri zetu ktk kuboresha mazingira ya kujitafutia riziki Kwa watu wao.
 
Hivyo vitu mbona hata mbunge wa awali na wa sasa wanavitumia sana.

Gambo anahangaika na Siasa chonganishi akiamini zitamvusha. 2025 ataona vumbi tu
 
Swala la vijana kuvuta mabangi hovyo , unywaji wa pombe na ukorofi , huwa linatia kinyaa Sana , Hali ni mbaya Sana Kwa kweli
 
Mkuu mbona unataka kumuonea Mbunge bure,ulevi na biashara ya ukahaba yesu mwenyewe ilimshinda na akainua mikono isitoshe mwanadamu.
Solution tulia zako nyumbani usiwe unapita hiyo mitaa.
 
Hapa ni makazi ya watu labda ungenishauri niuze kabanda kangu ili kukimbia hiyo dhahama
 
Back
Top Bottom