Kampuni ya China yasema Bomba la Mafuta (EACOP) litajengwa kwa namna yoyote ile

SemperFI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
1,417
2,949
CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU.

Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa Nchi husika kuupigania mradi uendelee kwa namna yoyote ile, akieleza kuwa una manufaa makubwa ya kimaendeleo kwa Nchi husika.

Mradi huo wenye thamani ya Tsh. Trilioni 9.3 utatekelezwa kwenye Kilomita 1,445, ambapo 80% zikiwa katika ardhi ya Tanzania, ukihusisha ubia wa 62% za TotalEnergies, 8 za CNOOC International, 15% TPDC na 15% Uganda National Oil Company.

==========================

As the debate on the implementation of the East African Crude Oil Pipeline (Eacop) project rages on following a resolution by the European Union (EU) Parliament, hope for its implementation has been renewed after various groups – local and international – backed it.

The $4 billion worth project will cover 1,445 kilometres, 80 percent of which is on Tanzanian soil, involving a 62 percent joint-venture of TotalEnergies of France.

Recently, the EU Parliament advised Tanzania and Uganda to shelf the project for allegedly not complying with international standards on climate change precautions while convincing other stakeholders to boycott it.

As this goes on, CNOOC International, a Chinese oil and gas company that owns a stake in Uganda’s oil extraction project, has said that the project would be implemented as planned, despite recent tensions after EU move.

Speaking to The Citizen in Beijing recently, CNOOC International vice president Dan Shao said what was needed was the will of the respective States to make the project continue in any way possible, expressing that it has great developmental benefits for the people of the respective countries.

“Already we’ve invested a lot of money, but it is normal for all big projects or those projects with massive investments to face challenges such as this one. We’ll ensure that the investment is executed by all means possible,” reassured Mr Dan.

The boss of CNOOC, which owns an 8 percent stake in the oil pipeline project, said the deal would only stop if it had no commercial value and the decisions made had violated the laws of the respective countries but not because of a lack of funds for implementation.

“The issue of investment funds is nothing if the project makes sense commercially, there is a lot of money in the credit markets around the world looking for borrowers, since the project is good, the money will be there,” he said.
However, he said he would not think their partners (TotalEnergies) would withdraw from the project because of what is going on, adding that even though that happened, the project would continue because of its commercial viability.

Last week, Eacop, on its website, made it clear about compensations for those to be affected by the project, which is among the points raised by EU Parliament condemning unfair treatment to those affected.

In its clarification statement, it mentioned that as the oil pipeline construction was expected to start at the end of this year, only 331 out of the 9,513 victims of the project in Tanzania would be moved to other settlements, where their houses were under construction.

“For Uganda, of 3,648 households, 203 will be required to leave their homes, and most of them have chosen alternative houses, which are also under construction,” reads the statement.

Recently, the chief executive officer of Standard Bank Group in the East African region, Mr Patrick Mweheire, was quoted by the Bloomberg News as saying that the project would benefit both countries--Tanzania and Uganda.
In his clarification, Mr Mweheire, whose Standard Bank Group is an international bank that is influential in the financing of large development projects in Africa, said the implementation of the project would also reduce the effects of deforestation.

“One of the biggest issues in Uganda is that 70 percent of domestic fuel comes from charcoal and firewood, so they cut down a lot of trees,” he said.

Besides Mr Mweheire, East African Community (EAC) Secretary General Peter Mathuki put it clear through on his twitter account, saying: “The project provides answers to long-term challenges in this region. Economic benefits for our people, in EAC we care about people and the environment.”

Despite the fact that EU Parliament resolution is not legally binding, there is the influence of some activists and financial institutions that pressure TotalEnergies to withdraw from the project investment because of what they call violation of environmental and human rights.

The activists protested in front of European Parliament on September 10.

The EU Parliament has summoned the chief executive officer of TotalEnergies, Mr Patrick Pouyanné, while Ugandan President Yoweri Museveni said he would be ready to find another investor if the French firm pulled out, insisting that Uganda’s plan to produce oil by 2025 ha not changed.

THE CITIZEN
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
7,467
6,583
Tulitegemea mchina kuchukua hili jukumu

Mchina awezi acha kitu! Magharibi wana endelea kupigwa na vitu vizito na mchina

Na bandari ya Bagamoyo atakuja kuwa maliza nayo

Alafu wana mlalamikia mchina ni mnyonyaji hapendi maendeleo afrika, wakitoka huko katika bunge Lao la EU utakuta wana kimbizana kufanya ziara ktk nchi mbalimbali afrika kuboresha na kudumisha mashirikiano kwa kutoa vimisaada kwa Mmoja Mmoja kama njia ya kuwa gawa
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
12,548
22,717
Babeberu sio watu wazuri hasa likija suala la nchi zetu kujitegemea kiuchumi...mpeni mchini amalize hiyo kazi.

Ila kuweni makini sana mana china kwa mikopo ya kuumiza ndio mwenyewe..msipokua makini atataifisha hata bandari ajiripe deni lake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
2,939
5,312
Tulitegemea mchina kuchukua hili jukumu

Mchina awezi acha kitu! Magharibi wana endelea kupigwa na vitu vizito na mchina

Na bandari ya Bagamoyo atakuja kuwa maliza nayo

Alafu wana mlalamikia mchina ni mnyonyaji hapendi maendeleo afrika, wakitoka huko katika bunge Lao la EU utakuta wana kimbizana kufanya ziara ktk nchi mbalimbali afrika kuboresha na kudumisha mashirikiano kwa kutoa vimisaada kwa Mmoja Mmoja kama njia ya kuwa gawa
Umeisoma hiyo taarifa au umekurupuka


Total Energies anamiliki alimia 60 ya huo mradi , Tanzania 15 na Uganda 15. Huyo Mchina ndio kabaki na vi asilimia less than 10 halafu unakuja kusema atajenga.Akili zako ziko tumboni

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,495
11,954
Hilo bomba litapasuliwa mafuta yamwagike au yaibiwe. Watakula hasara mpaka basi.
Wew mzee umeishia darasa langapi .

Kwa tarifa yako mafuta yanayosafirishwa Ni crude oil ambayo Bado haijawa mafuta ,mafuta yanasafirishwa kwenda kuchujwa Kisha kupatikana mafuta ya petroli,disel ,na malighafi singine so usifikiri Ni mafuta og yatasafri

Wazungu wametupiga parefu mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
7,467
6,583
Umeisoma hiyo taarifa au umekurupuka


Total Energies anamiliki alimia 60 ya huo mradi , Tanzania 15 na Uganda 15. Huyo Mchina ndio kabaki na vi asilimia less than 10 halafu unakuja kusema atajenga.Akili zako ziko tumboni

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Asilimia zina kutisha?

Umesoma asilimia? Hukusoma vingine?

Akilizako matakoni? Una zikalia zina ota sugu
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
37,268
54,275
Bomba lazima lijengwe iwe kwa mvua au jua Wachina hao wabarikiwe.
up.gif
qRI8Gs7.gif
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom