Nitashangaa sana iwapo kesi ya Halima Mdee na wenzake 18 itatolewa hukumu kabla ya 2025

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Wadau Nawasalimu.

Kwa Uzoefu wangu wa Kesi zinazoihusu CHADEMA Hucheleweshwa kwa Makusudi na MAHAKAMA za Tanzania NITASHANGAA sana iwapo KESI hiyo Itatolewa Hukumu kabla ya Mwaka 2025.

DALILI za Kuipiga DANA DANA Kesi Zimeanza kwani Juzi ilikuwa iendelee kusikilizwa lakini kwa MAKUSUDI kabisa Iliahirishwa kwa Sababu ya MAWAKILI wa SERIKALI Kutokufika MAHAKAMANI licha ya kuwa Mawakili wote Wapo Dsm.

Nimpongeze JAJI MSTAAFU mzee OTHMAN CHANDE alipozitaka MAHAKANA za TANZANIA Kuzitolea HUKUMU KESI Mbalimbali zenye Kuvuta Hisia za Wananchi Wengi.

Pia niipongeze Mahakama ya juu ya Kenya kutumia Siku 14 kupokea ushahidi kusikiliza na kutoa HUKUMU kwa Kesi kubwa ya kupinga matokeo ya URAIS iliyokuwa na hisia za Wananchi wengi wa Kenya na jaribu kujiuliza kama ingekuwa Tanzania nadhani Dunia ingeshangaa.

1652427482224.jpg
 
Naamini itatolewa kabla ya muda huo kufika, hao wanawake siku yao ya anguko la aibu inakaribia.
 
View attachment 2373965
Pole mwanachadema kindakindaki
 
Hiyo kesi imefunguliwa kwa sababu ya roho mbaya ya Lissu, baada ya yeye kuukosa uraisi, hataki mwanachadema yoyote apate nafasi popote, chama kiliwateua vizuri ila yeye akashinika waondolewe huku akijiapiza atahamia ACT wazalendo.

Hata wabunge wa afrika mashariki, alizuia Chadema isigombee.

Ni mbinafsi na mroho sana wa madaraka
 
Duuh, u - mbunifu sana aiseee...

Hawa jamaa wawili hapo juu (Magufuli + Ndugai) walikuwa the most dangerous people kwa nusu muongo mmoja uliopita yaani 2015 - 2021..

Walikuwa na uwezo wa kuamua;

✓ Nani afe na afe kwa njia ipi; kwa risasi, kunyongwa, au kwa sumu..

✓ Nani aishi na aishi staili gani ya maisha...

✓ Nani apewe cheo na nani anyang'anywe au akose kabisa..

✓ Nani apate kazi na alipwe kiasi gani cha pesa..

✓ Nani akose kazi na aishi maisha gani ya kukosa kazi..
Nk nk...

Hawa kina mama waliochini yao katika picha hii maarufu kama COVID 19 waliangukia katika maamuzi ya kupewa vyeo vya ubunge...!!

Bahati jamaa wamekufa. Mwingine (Magufuli) kafa kiroho na kimwili na ameshaoza huko ardhini, hayupo duniani...

Lakini huyu mwingine (Ndugai) kafa kiroho. Kimwili yupo yupo tu hapa duniani. Asipotengeneza mambo yake ili kuhusisha roho yake, hakika atamalizikia kufa kimwili kabisaaaaaa....!!
 
Hiyo kesi imefunguliwa kwa sababu ya roho mbaya ya Lissu, baada ya yeye kuukosa uraisi, hataki mwanachadema yoyote apate nafasi popote, chama kiliwateua vizuri ila yeye akashinika waondolewe huku akijiapiza atahamia ACT wazalendo.

Hata wabunge wa afrika mashariki, alizuia Chadema isigombee.

Ni mbinafsi na mroho sana wa madaraka
Wadanganye wapumba.vu wenzako
 
Umeelewa kinachojadiliwa? Ni kwanini kesi hiyo pamoja na zingine za namna hiyo inayohusu CHADEMA zinachukua muda mrefu kutolewa maamuzi?

Rejea hapo Tena au fungua mada nyingine inayosema kwanini CHADEMA walifungua kesi dhidi ya wangunge 19?

Au nyie ndo wale wanaopokea mipochopocha kwa kupindisha na kuamisha mada ndani jukwaa? Nisamee Kama nimekukwaza mkuu.
 
Kwa sababu una uelewa mdogo, nimekusamehe
 
Naamini itatolewa kabla ya muda huo kufika, hao wanawake siku yao ya anguko la aibu inakaribia.
HKwenye uamuzi wa mahakama hakuna aibu. Kila mmoja anaamini ana haki, mahakama kaqzi yake ni kuamuwa mwenye aki ni nani/yupi. Wakishindwa watakuwa wamechota za kutosha...mshara na marupurupu karibia miaka mitatu si haba.
 
Back
Top Bottom