Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Majukumu ya Mwenyekiti wa Mtaa Atakuwa ndiye Mkuu wa Serikali ya Mtaa; Atakuwa na wajibu wa kuitisha na kuongoza mikutano yote ya Halmashauri ya Mtaa, pamoja na Mikutano Mikuu ya Mtaa. Lakini...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Michezo, Sanaa na Utamaduni kwa sasa ni Sekta inayo ajiri Vijana wengi kwa hapa Tanzania. Miaka ya nyuma Michezo, Saana na Utamaduni ilikuwa ni sehemu ya burudani na kutafuta umaarufu, haikuwahi...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite. Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari Watanzania wenzangu, Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo. Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara...
33 Reactions
78 Replies
5K Views
Utasikia vijana wa CHADEMA wapo Twitter kulalama bila kutumia political sense of morals. Utasikia wanakomalia mambo ya ajabuajabu tu bila hata kujali juu ya mambo ambayo yatakipaisha chama chetu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Bado sijaona mantiki kwa sababu CCM ina wanachama chungu nzima kwanini sasa wengine wanapewa nafasi mbili mbili? Hakika ubunge 2025 sijui itakuwaje! Alhamis Ubarikiwe sana
1 Reactions
3 Replies
954 Views
Kuna engine / vichwa vya treni vilikuwa bandarini na serikali ikadanganya kwamba havina mwenyewe. Vichwa vya treni ni mitambo ya thamani kubwa sana na mara nyingi kama sio zote huundwa kwa...
11 Reactions
22 Replies
3K Views
Nchi yetu ina tabia ya kuhabarisha mambo makubwa nusunusu kama vile sisi tunaohabarishwa hatuna akili ya kuhoji na kudadisi. Profesa Kabudi wakati anakiri kuwa alidanganya (kwa makubaliano na...
11 Reactions
63 Replies
5K Views
Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF, nimeipitia hii ripoti kwa umakini nlichogundua ni kweli kuna uwezekano mkubwa data zilikuwa zinaongezwa kidogo tukawa hatustahili 360 trilioni ,Lakino ukichukulia makinikia haiwi...
1 Reactions
8 Replies
864 Views
Wadau Suala la Tril.360 kama KODI zilizotakiwa kulipwa na Kampuni ya Madini ya Barrick nina Hakika lilizungumzwa Katika VIKAO vya BARAZA la MAWAZIRI. Leo kuna MTU anajitokeza na Kusema zile...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35. Mchakato huo umeanza kwa kufanya mkutano wa...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Hassan Moyo ameingilia kati mgogoro wa ardhi kati ya wakazi wa Kijiji cha Mgera Kata ya Kiwele, Wilayani Iringa na Mwenyekiti wa kijiji hicho, Lucas Mgata kwa kuzuia...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
Inakuwaje wadada wameongoza maandamano kwenye nchi yenye sheria, msimamo mkali? Imekuwaje hadi sasa wameendelea na hayo maandamano bila kujali nani atakufa au madhara gani yatatokea? Je, kupitia...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Hakika hii nchi ina viongozi wa ajabu sana. Nimeshangazwa na kauli ya Waziri wa Fedha kuwa serikali ya Tanzania imeachana na madai ya kodi ya tril. 360, kodi zilizotakiwa kulipwa na kampuni ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa World Innovation Summit for Health 2022 Multaqa Centre - Doha Qatar leo tarehe 04 Oktoba, 2022...
4 Reactions
65 Replies
6K Views
AWESO AIBUA SHANGWE WANANCHI PEMBEZONI VYANZO VYA MAJI MBINGA; AAGIZA USANIFU WA MRADI KUANZA MBINGA-RUVUMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso amekagua na kuzindua shughuli za uhifadhi wa...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Mh Rais wa JMT. Jana wakati ukizindua na kukabidhi nyumba kwa wakazi wa Magomeni Quarters. Ulikaririwa ukisema kwamba,watu huko mitaani wanaongea kwamba miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa...
10 Reactions
80 Replies
5K Views
- Pendekezo langu kwa aina ya mfumo wa Kisiasa/ Vyama vya Kisiasa ulio bora unaopaswa kufuatwa katika nchi ya Tanzania ni uwepo wa Vyama vingi vilivyo huru na vyenye kupewa haki sawa. - Katika...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya...
6 Reactions
99 Replies
9K Views
Back
Top Bottom