Rais Samia apandisha thamani ya Tanzanite

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,144
6,946
Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.

Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.

Katika sehemu ya filamu hiyo, inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara.

Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21, 2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd, Vitus Ndakize. Bei ya gram ilikuwa ni 400,000, ila sasa 600,000.
 
Huu ndio uzi wa ukweli, haupati wachangiaji, ila nyuzi za uongo mtupu,zisizo na ushahidi, ndio zinazopata wachangiaji.
 
Filam ya Tanzania Royal Tour,imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya filamu hiyo,inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa w Manyara.
Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21,2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd,Vitus Ndakize.Bei ya gram ilikuwa ni 400,000,ila sasa 600,000.
Hivi tutaacha lini kuleta upuuzi kama huu? Nimeona na gazeti la mwananchi nalo limerambishwa asali!
 
Huu uzi wenye faida, hauna wachangiaji. Lakini ukileta uzi wa uongo,wa kushuka mapato, wachangiaji wanakuwa wengi.
 
Kupanda thamani ya madini yoyote haihusiani na royal tour, hiyo ni impact ya demand duniani hata dhahabu na almasi bei imepanda kipindi hiki cha high season hua uhitaji ni mkubwa na hua tanzanite inashuka thamani low season, hata dhahabu kipindi cha mvua hushuka bei kidogo, mnaanza kuleta sifa za jiwe sasa mnazidisha chumvi, maana jiwe ilikua lolote zuri mazuzu yake lazima yamhusishe kama ilivo mazuzu ya samia nayo yameshika usukani.
 
Filam ya Tanzania Royal Tour,imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya filamu hiyo,inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa w Manyara.
Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21,2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd,Vitus Ndakize.Bei ya gram ilikuwa ni 400,000,ila sasa 600,000.
Rubbish
Tanzanite ipo miaka yote imemsaidia nini Mtanzania wa kawaida?
Acheni kusifia upuuzi
 
Kupanda thamani ya madini yoyote haihusiani na royal tour, hiyo ni impact ya demand duniani hata dhahabu na almasi bei imepanda kipindi hiki cha high season hua uhitaji ni mkubwa na hua tanzanite inashuka thamani low season, hata dhahabu kipindi cha mvua hushuka bei kidogo, mnaanza kuleta sifa za jiwe sasa mnazidisha chumvi, maana jiwe ilikua lolote zuri mazuzu yake lazima yamhusishe kama ilivo mazuzu ya samia nayo yameshika usukani.
Aliyesema ni mkurugenzi wa kampuni ya madini,tumia akili,huyu yupo jikoni,kwenye Tanzanite.Wewe uko nje ya mfumo,tutakusiliza wewe uliyeko nje ya mfumo wa Tanzanite.
 
Rubbish
Tanzanite ipo miaka yote imemsaidia nini Mtanzania wa kawaida?
Acheni kusifia upuuzi
Wewe imekusaidia bila kujijus, unafikiri mpaka ukatumia Internet, ni mojawapo ya miundombinu inayotegemea pato la Taifa. Mbali hatujagusa, barabara, madaraja, Hospital, nk.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom