Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya...
Salaam Wakuu,
Sasa nimeanza kuelewa Usemi wa Freeman Mbowe(Mwenyekiti wa CHADEMA) aliposema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ni Tawi la Chama cha Mapinduzi.
Hivi sasa CCM inafanya uchaguzi wa...
Kuna namna tulipangwa sana namna awamu ya tano ilivyofanya state capture corruption ikatengenezezwa filamu ya makinikia ikahaririwa na Profesa Kabudi.
Uhuni wa propaganda hizo zote ilikuwa ni...
Zanzibar. Pengine hakuna watu waliolipokea kwa mikono miwili agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kwa Jeshi la Polisi kuhusu haja ya kuiongezea Zanzibar ulinzi kama wazazi na ndugu na jamaa ambao...
Tarehe 09.08.2022 taifa la Kenya lilifanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi mbalimbali wa taifa hilo.
Upigaji kura ulifanyika vizuri kwa amani kwa mujibu wa waangalizi wa Kimataifa, kwa muktadha...
Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya...
Kama kuna kitu ambacho natamani kitokee ni kuona Afrika Mashariki imekuwa nchi moja haya ni maombi yangu
Na kuna muda natamani niingie kwenye siasa au jeshi ili nije niwekeze nguvu nyingi kujenga...
Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika...
Leo Jumamosi Februari 26, 2022 huko Dubai kwenye maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Biashara na Uwekezaji ya Dubai Expo 2020 ni Siku Maalum ya Tanzania (Tanzania Day) kuonyesha fursa zake za...
Wote wenye akili timamu na uelewa wa kutosha, walifahamu kwa uwazi kabisa kuwa taarifa ile kuwa Acacia walikuwa wanadaiwa kodi ya sh. Trilioni 360, walijua kuwa ni uwongo na hadaa ya hali ya jui...
Serikali sio kitu cha mchezomchezo kinachopaswa kutiliwa mashaka na wananchi. Watu wote wanaojiita "sisi Serikali" lazima mfanye utafiti wa kina kabla ya kutamka, kuagiza na kuutekeleza jambo kwa...
Mtaalamu wa Fedha Dr Kashinde amesema ni sahihi Kabisa kusema Rais anatoa Fedha kwa ajili ya jambo fulani
Kimsingi Mapato ya Serikali yanayokadiriwa na Bunge huwa hayatimii na hukusanywa kwa...
CCM YATIA NENO. MASHAMBA YALIYOFUTWA NA RAIS SAMIA KILOSA
Shaka asema uamuzi huo ni wa kihistoria, umegusa maslahi ya wananchi
Na Mwandishi Wetu Kilosa
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka kufanya uzinduzi wa msimu wa kilimo 2022-2023 na kushuhudia ugawaji wa ardhi katika mashamba yaliyorejeshwa wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro...
Kichwa cha habari kinajieleza,
Uchaguzi wa CCM unaendelea katika ngazi mbali mbali kuanzia ngazi ya shina, weekend iliyopita umehitimishwa katika ngazi ya wilaya huku ukisubiriwa ngazi ya Mkoa na...
Hii style ya vyama vya Upinzani na viongozi wao nchini.
Kusubiri kauli "tata"
au matukio "tatanishi" kutoka kwa waandamizi Serikalini au viongozi ndani ya CCM.
Au kwa mojawapo ya vyombo...
Dodoma. Bodi ya Filamu Tanzania imeanza uhakiki wa vibanda vya kuonyeshea filamu maarufu vibanda umiza vilivyopo mtaani lengo ni kuvisajili na kuweka utaratibu wa undeshaji.
Pia wameunda Kamati...
Liberata Mulamula inaelekea alikuwa anapata sifa sana kwa viongozi wa nje na kuna washauri hawajapendezwa na hili.
Hii imesababisha washauri kuanza kuongelea mipaka na mambo mengine. Ushauri Rais...
Ndugu zanguni, nimemsikia Spika akihamasisha mapigano/ vurugu/ visasi dhidi ya wanaomsema vibaya Rais nk.
Ndugu zanguni, hii ni hatua ya juu sana ya kuhamasisha vurugu Nchini. Hali hii haipaswi...
Hii ndio Taarifa yake aliyoisambaza kwa vyomba vya Habari Duniani , kwamba Jeshi la Polisi Tanzania limempelekea Wito Askofu Mwamakula , wa kuhitajika kwenye inayoitwa Makao Makuu ndogo ya Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.