Kusema Trilioni 360 ilikuwa “Kanyaboya” ni kuvujisha Siri za Serikali

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
1,249
1,947
Wadau Suala la Tril.360 kama KODI zilizotakiwa kulipwa na Kampuni ya Madini ya Barrick nina Hakika lilizungumzwa Katika VIKAO vya BARAZA la MAWAZIRI.

Leo kuna MTU anajitokeza na Kusema zile TRIL.360 ni KANYABOYA je huko Sikutoa SIRI za BARAZA la MAWAZIRI?

Pili Kama Tumedanganywa kwa hili Je ni Mangapi Serikali ya AWAMU ya 5 IMETUDANGANYA?

1664915659087.jpg
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
118,306
574,282
Wadau Suala la Tril.360 kama KODI zilizotakiwa kulipwa na Kampuni ya Madini ya Barrick nina Hakika lilizungumzwa Katika VIKAO vya BARAZA la MAWAZIRI.

Leo kuna MTU anajitokeza na Kusema zile TRIL.360 ni KANYABOYA je huko Sikutoa SIRI za BARAZA la MAWAZIRI?

Pili Kama Tumedanganywa kwa hili Je ni Mangapi Serikali ya AWAMU ya 5 IMETUDANGANYA?

View attachment 2378178
Huyo kachemka sanaaa....
 
VON BISMACK

JF-Expert Member
Jul 11, 2018
2,225
3,858
Sijasoma andiko lako lakini Serikali ya CCM itambue inaongoza watu wanaojitambua n kujielewa sio zama za giza hizi...

Kiufupi tumeichoka tunahitaji chama kingine cha siasa.

CCM imelaaniwa
 
goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,547
11,713
Kanyaga boya watz Ni makanyaga boya tu mijitu mijinga sna so kabudi umepiga kwenye mshono vzr had hata yule mpuuzi anajita luaga mjuaaji atulie uzi umshone kisaaasawa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
7,264
19,374
Hata yeye mwenyewe na zile stori za uzalendo na vita ya kiuchumi ilikuwa ni kanyaboya
20220903_211400.jpg
 
nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,365
3,766
Lissu alipigwa risasi Kwa kutuelewesha kuwa wanachofanya magufuri, kabudi na osolo ni uongo.

Leo wanaanza kuropoka.
 
LordMasele

JF-Expert Member
May 22, 2021
228
160
Wadau Suala la Tril.360 kama KODI zilizotakiwa kulipwa na Kampuni ya Madini ya Barrick nina Hakika lilizungumzwa Katika VIKAO vya BARAZA la MAWAZIRI.

Leo kuna MTU anajitokeza na Kusema zile TRIL.360 ni KANYABOYA je huko Sikutoa SIRI za BARAZA la MAWAZIRI?

Pili Kama Tumedanganywa kwa hili Je ni Mangapi Serikali ya AWAMU ya 5 IMETUDANGANYA?

View attachment 2378178
Kabudi alikuwa wapi kuyasema haya 2hrs baada ya magufuli kufariki?

Shida ya hawa viongozi wametufanya sisi watanzania ni viswaswadu, Yaani Kabudi amejitokeza na kusema hizo trillioni zilikuwa ni uongo ili aonekane ni mwema kwa wananchi.

Wakati kipindi cha JPM alikuwa kimya tu, hakuthubutu hata kuyasema hayo yote.

Hii inaonesha kwamba viongozi wetu wanathamini ugali wao, maanake Kabudi hakuyasema haya kipindi cha Jpm akihofia kupoteza ugali wake. Sasa uchaguzi unakaribia yeye anajifanya kutoboa siri ili aonekane mwema kwetu.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
100,312
174,702

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,717
22,041
Kabudi alikuwa wapi kuyasema haya 2hrs baada ya magufuli kufariki?

Shida ya hawa viongozi wametufanya sisi watanzania ni viswaswadu, Yaani Kabudi amejitokeza na kusema hizo trillioni zilikuwa ni uongo ili aonekane ni mwema kwa wananchi.

Wakati kipindi cha JPM alikuwa kimya tu, hakuthubutu hata kuyasema hayo yote.

Hii inaonesha kwamba viongozi wetu wanathamini ugali wao, maanake Kabudi hakuyasema haya kipindi cha Jpm akihofia kupoteza ugali wake. Sasa uchaguzi unakaribia yeye anajifanya kutoboa siri ili aonekane mwema kwetu.
Mimi simpendi katu huyo Kabudi lakini namshukuru sana kwa ujasiri wake...better late than never! Nafsi itakuwa imemsuta kweli kweli.

Sasa jiulize kati ya Kabudi na wale ambao wako kimya hadi leo, yupi ni bora? Asante Kabudi kwa kutufungua macho.

Namtaka na mwingine ajitokeze ili Watanzania tujue tunakotoka na tunakoelekea. Wenzake bado wapo kwenye uongozi.

Wasaidizi wakuu katika awamu ya tano (ya Magufuli) wapo wamekula, wameshiba na wamenawa lakini bado wanapanga kula zaidi na zaidi.

Wengine hata mlo wa siku moja hatupati lakini hata kile kidogo tulicho nacho walitunyang'anya na sasa wanatuibia!

Jamani twafaaa!
 
chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
5,207
11,470
Kwahiyo alivyokua anatoa macho kwenye hotuba kumbe anadanganya alimaanisha nini?
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom