mamayoyo1
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,011
- 1,019
Baada ya kutoka jalalaniWaziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Toka lini "Mfungwa" akachagua gereza?Si mlisema wachina wana masharti ya kinyonyaji?
Ama kweli Tanzania haiishi vioja!! Hawa wachina si ndiyo juzi juzi mmesema wana mikataba ya kinyonyaji, watu waliotaka kuwajengea viwanda na bandari ya Bagamoyo? Leo mnaenda tena kwao wanyonyaji hawa hawa na maombi ya kujengewa viwanda? Huyu mtu wa jalalani, kwa nini hakurekebisha mkataba na ukafanana na utashi wa nchi? [emoji16][emoji16][emoji16], ama kweli uskistaajabu ya Musa utaona ua Kala Magamba KabundiWaziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Huyu sio mtu wa mchezo mchezo, anafanya kweli.
P
Wale wanunuzi wa korosho kutoka kenya waliletwa na nani ?Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
😀😀😀😀Ama kweli Tanzania haiishi vioja!! Hawa wachina si ndiyo juzi juzi mmesema wana mikataba ya kinyonyaji, watu waliotaka kuwajengea viwanda na bandari ya Bagamoyo? Leo mnaenda tena kwao wanyonyaji hawa hawa na maombi ya kujengewa viwanda? Huyu mtu wa jalalani, kwa nini hakurekebisha mkataba na ukafanana na utashi wa nchi? [emoji16][emoji16][emoji16], ama kweli uskistaajabu ya Musa utaona ua Kala Magamba Kabundi
Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Mkuu, hiyo hapo inaelekea ni 'concept' mhimu. Hebu itolee ufafanuzi basi wengi wafaidike!Kipanga wa UDSM ambaye alishindwa kutofoutisha kati ya 50/50 Economic benefits na 50/50 Net Profit.
Tushapigwa tayari...
Huyu aliyeleta wanunuzi wa korosho feki ?Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa China-Africa Development Fund Ndugu Wang Yong leo Beijing. Mfuko huo umeelezea nia ya kuwekeza katika ujenzi wa maeneo ya viwanda pamoja na mradi wa bomba la mafuta.
View attachment 1136398
Ile kampun fake ya Kenya ya korosho nani aliileta kweli? Hio nchi inavituko sana MTU anaweza kunya na wapambe wake wakayaita mavi ni wali.mimi namuamini kabudi anajua kuchagua wawekezaji wazuri wa kichina,sio kama awamu zilizopita,,awamu hii tunaleta wawekezaji wazuri na kama ni bandari,tutaleta wawekezaji wa maana zaidi wajenge bandari nzuri pale ziwa victoria