Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi... Niwasabahi kwa kuwatakia asubuhi njema na natumai mko fresh kabisa. Kabla sijaenda mbali Mwalimu wangu wa Sheria pale chuo kikuu aliwahi nifundisha kuhusu "ku-declare interest"...
17 Reactions
87 Replies
9K Views
Hii inaweza kuwa habari mbaya sana kwa Lissu na Chadema kwa ujumla kwamba shombo zao zinapaisha familia ya Magufuli badala ya kuibomoa kama wanavyotaka akina Zito Kabwe, hii ni baada ya mpwa wa...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Wasalaam wanajamvi, Kheri ya Siku ya Kumbukizi ya Kuzaliwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Endelea kuishi Profesa wa Siasa, Hakika maisha Yako ni shule Kwa watu wengi hasa vijana wanaohitaji kufika...
1 Reactions
8 Replies
953 Views
Tuzo ya kimataifa ya Nobel iliyoanzishwa na Bw Alfred Bernhard Nobel, Mswidi mbobezi wa kemia, uhandisi, mvumbuzi, mjasiriamali na mdiakonia (matendo ya huruma (philanthropist)) imetoa tuzo hiyo...
10 Reactions
208 Replies
13K Views
Seth, aliyekuwa mmliki wa kampuni ya kufua umeme kwa jenereta almaarufu IPTL anatarajia kuishitaki Serikali ya Tanzania ili imrejeshee u miliki wa mitambo ile. Pia, imlipe fidia ya hasara...
22 Reactions
93 Replies
8K Views
Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020...
9 Reactions
78 Replies
8K Views
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nauliza swali hili kutokana na mabadiliko ya lugha katika baadhi ya bidhaa ambazo hapo kabla hazikutumia lugha ya Kiarabu. Ningeweza kuweka baadhi ya picha za bidhaa hizo, lakini kwa sababu za...
18 Reactions
124 Replies
10K Views
Kamati nne (4) za Kudumu za Bunge zitaanza kukutana tarehe 10 hadi 30 Oktoba, 2022 Jijini Dodoma. Kamati hizo ni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Katambi amesema serikali tayari imeunda bodi kwa ajili ya kufanya upembuzi ili kupata kima cha chini cha mshahara kwa...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Dar es Salaam. Wakati bei za mafuta zikizidi kushuka nchini kwa miezi miwili mfululizo, hali ya bidhaa na nauli bado zimesalia kuwa juu, huku wahusika wakisema bado kuna haja ya kushusha zaidi bei...
1 Reactions
5 Replies
888 Views
Mwaka 1990, nusu ya raia wa Vietnam walikuwa fukara wa kutupwa zaidi yetu, wakiishi kwa nusu dola kwa siku! Leo, Vietnam kuanzia 2020 imefuta ufukara kabisa! China, katika uhai wangu, miaka ya...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wanasiasa wakikalia viti wanajiona wapo juu ya kila kitu. Akijiona na cheo anaona yeye ndiyo ana akili na uwezo kuliko yoyote. Yaani anadhani bila yeye hakuna wa kuweza kufanya zaidi yake. Hata...
41 Reactions
170 Replies
9K Views
Taarifa kutoka Chadema inaonyesha kwamba Chama hicho Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania , Tayari kimelimwa Barua Kabambe na Mtukufu Francis Mutungi , ambayo inakitaka kujieleza sababu hasa za...
21 Reactions
91 Replies
9K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ufafanuzi kuhusu wapi zipo shilingi trilioni 360 zilizopo kwenye mashauri ya madai 1,095. Waziri Nchemba amesema, kuna jumla ya mashauri 400...
6 Reactions
142 Replies
13K Views
Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia...
7 Reactions
57 Replies
7K Views
07 October 2022 SIMBACHAWENE: ANATOA TAARIFA MPYA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU NA KUTOA MAAGIZO MUDA HUU KUHUSU SEKTA YA KILIMO NA NISHATI YA UMEME Source : Manyunyu TV Akinukuu taarifa za...
0 Reactions
7 Replies
981 Views
Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ametoa tamko bungeni Septemba 20 2022 na kutangaza rasmi kufuta tozo mbalimbali za miamala ya kielektoniki bila kueleza ni kikao gani cha kisheria...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Makamu wa Rais, Dk. Philip Isdori Mpango amesema hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa umeme wa Gridi ya Taifa katika Mkoa wa Katavi na kuiagiza Wizara ya Nishati kuhakikisha ifikapo 2023...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom