Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki chini ya uongozi wa Waziri Liberata Mulamula imeendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kuitangaza nchi na fursa zake kama sehemu ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi habari! Naenda kwenye mada yangu moja kwa moja! NDUGAI yeye alitahadharisha umma au watawala juu ya madhara ya Serikali kukopa fedha toka taasisi mbalimbali Duniani. Kwamba tukiendelea...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikali imeufuta mkataba huo uliowahi kutajwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 400 Mwezi Februari mwaka huu Serikali iliweka wazi kuwa imeingia mkataba na Kampuni ya kutoka...
11 Reactions
92 Replies
15K Views
Serikali imebadili uamuzi wake wa awali wa kubangua korosho zote ndani ya nchi na kuziuza zikiwa zimebanguliwa na badala yake imeamua kuuza korosho ghafi Serikali ya Tanzania imeingia mkataba wa...
12 Reactions
167 Replies
68K Views
Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Kuna barua nimeiona hapa inayodaiwa kuwa ya polisi wilaya ya Tunduru juu za zuio la ziara ya katibu mkuu wa Act wazalendo ndg Addo Shaibu. Ukiachana na malalamiko ya Mwenyekiti was ngome ya vijana...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
Tofauti na miaka mingine tunashuhudia hakuna tetesi zozote kuhusu idadi inayokadiriwa ya sasa ya Watanzania. Vyombo vya habari wala waandishi wa habari hawaonyeshi kuguswa na matokeo...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna mengi yalisemwa kuhusu January kuteuliwa kuwa waziri wa nishati, mojawapo likiwa ni kwamba kulikuwa na msukumo fulani kutoka kwa wazee kwa mama kumpa January wizara hiyo nyeti kama chaguo...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es...
24 Reactions
113 Replies
11K Views
Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na...
9 Reactions
82 Replies
8K Views
Tanzania tunabahati sana kuwa na Rais anayejali wananchi kutokana na ruzuku ya mafuta Bilioni 100 inayotolewa na Rais Samia Suluhu kila mwezi imepelekea bei ya mafuta kuendelea kushuka kila leo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
NAAAM ,mambo ni bam bam inafurahisha sana eti kusikia Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofata katiba na kuizingatia kwelikweli, kudadeeeeki ukigeuka huku unakuta video za wana ccm wakihimiza...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Gharama za maisha zimekuwa zikipanda siku hadi siku. Vyakula vimekuwa juu kiasi kwamba wananchi wanalazimika kuishi maisha magumu kupindukia. Serikali imeshindwa kuwasaidia wananchi ktk kipindi...
1 Reactions
4 Replies
863 Views
Ndugu zangu poleni na msiba. Tukiwa tunaendlea na maombolezo ya JPM, naomba kuwajua wanyonge ambao huyu mtu aliwapigania na kuwatetea. Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa. Kabla hatujamwita na...
23 Reactions
123 Replies
9K Views
Katika Kitabu cha Mithali inaelezwa wazi Baba huacha Urithi wa mali kwa watoto wake na haisemi baba huacha Madeni kwa watoto wake, amesisitiza Rais Ruto wa Kenya Tunawajibika Kulipa madeni...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Napongeza uteuzi wa Tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi. Hizi ndio...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Mimi nilikuwa Chadema kindaki ndaki na nilishiriki kumchagua Tundu Lisu kwenye ubunge mwaka 2015 kwa sababu mimi ni mkazi wa Ikungi. Ikumbukwe Chadema ilibadilika na kuanza kutetea mafisadi mara...
52 Reactions
270 Replies
15K Views
Watajwa hapo juu wameamua kukesha kwenye mtandao wa Twiter 24/7 kupiga porojo na kutukana muda wote. Inatia huruma sana kwa umri mlionao badala ya kufanya mambo ya kuigwa na walio wadogo zenu...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Halafu nasikia hata Rais wa Burundi nae (nchi inayopenda Kujibebisha sana kwa Tanzania) mpaka hivi sasa nae hajasema wala kuonyesha anamtaka nani mpaka Tanzania (Watanzania) wajipambanue kati ya...
8 Reactions
63 Replies
8K Views
Back
Top Bottom