Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

BARUA YA WAZI KWENDA KWA DKT MWIGULU LAMECK NCHEMBA Anaandika Hassan Ruangwa Wasalaam Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Natumai ubukheri wa afya ya akili na Mwili, Dhumuni la Barua yangu kwako ni...
1 Reactions
4 Replies
781 Views
Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Baada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka Mtwara. Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu. Mh ZZK ametufumbua macho sisi...
36 Reactions
333 Replies
21K Views
Akiongea kupitia youtube chanel yake ya GLema Tv amemuonya DPP kuacha kutisha watu. ”…Mimi nimwambie DPP kwamba taifa hili linaanza kushuhudia kuwa yeye ni DPP wa kwanza anayeweza kutoka...
58 Reactions
338 Replies
34K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo 1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha...
39 Reactions
323 Replies
34K Views
Ni Dk Ogwell. Huyo mwamba huwa anajifanya mpenda demokrasia na huwahusudu sana wazungu na kuwaponda Viongozi wa ki Afrika. Sasa juzi Wajerumani wamemuonyesha yeye siyo mwenzao pamoja na kuwa na...
2 Reactions
4 Replies
798 Views
Kwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, iliyofanyika huko Mkoani Kagera, Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake, Dr...
24 Reactions
187 Replies
12K Views
Kipindi cha JPM palikuwa na wababe wa utekaji, uuaji na uporaji. Ni ktk awamu hii ambapo tulishuhudia utamaduni mpya ukiibuka hapa nchini wa viongozi kutishiwa na bastola mchana kweupe na wengine...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Mwaka 1985-1995 Tanzania iliongozwa na Rais Alli Hassan Mwinyi. Alilirithi nchi iliyotoka kupigana Vita miaka 5 nyuma na kuacha uchumi uliodhoofika kiasi cha Rais wa nchi Mwalimu Julius...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege wa Mwanza kuna nini? Je, linakwamishwa na maslahi binafsi au kuna mkono wa mtu unazuia lisimaliziwa kwa viwango. Juzi Mkuu wa Mkoa Adam Malima...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii ndio Chadema Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa...
1 Reactions
0 Replies
777 Views
Mama Samia tuokoe sisi maskini na usisahau kumkamata Biswalo ambaye katudhulumu sisi wanyonge bila makosa yoyote. Najua naye yule angekuwepo angekamatwa pia kwa kudhulumu watu uhai na pesa zao...
1 Reactions
3 Replies
598 Views
Habarini wakuu., Nimeona kuna haja ya kuja na uzi huu, ni baada ya tathmini halisi iliyofanywa na wachambuzi mbali mbali kuhusu maendeleo ya wazanzibari wote unguja na pemba. Sera ya Dr Mwinyi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Si Sawa kuzuia Chama Kikuu cha Upinzani kufanya Siasa zake za ndani nchi nzima Vyama vya mifukoni vinajulikana lakini Chadema na ACT wazalendo Kule Zanzibar Wana majukumu ya kiserikali...
3 Reactions
11 Replies
950 Views
Mpaka sasa hakuna chombo cha habari kilichoandika au kutanga za maandamano ya wapemba kupinga ujenzi wa kanisa. Hakuna kiongozi yeyote wa kiserikali au wa kisiasa anayeliongelea. Inaweza kuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu...
8 Reactions
179 Replies
20K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na wananchi waliojikusanya barabarani wakati wa ziara yake Mkoani Geita. Wananchi wa mkoa wa Geita wamejitokeza kumpokea Rais Samia Suluhu kwa...
1 Reactions
3 Replies
876 Views
Huo ndio ukweli uliodhihirika leo mkoani Geita,kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan. Shaka Hamdu Shaka, katibu mwenezi wa CCM taifa.Ametabanaisha rasmi umuhimu,ubora pamoja na ubunifu...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom